Dawa ya deni ni kulipa acha janjajanja🤸
 
Haya maisha haya..unaweza kukuta kuna mtu anapahitaji hapo hivyo inatafutwa sababu ya kukutoa.
 
Uko sahihi.
 
Hatar chief. Biashara inaweza ikakuua hiv hiv unajiona
 
wewe ndio umempa changamoto landlord..

haiwezekani ucheleweshe kodi miezi kadhaa halafu ukae kimya

vipi kama wewe ungecheleweshewa malipo katika biashara yako huku expenses zinasubiri kulipwa on time?

Hivi hukusoma economics kuwa rent is a fixed expenses and cant be avoided?

Show your respect, go and apilogise
 
SI mlisema
Si mlisema Rais Samia amefungua nchi hela zimejaa mfukoni?
 
Pole sana mwanetu

Lakini wewe unaonaje mwenendo wa biashara yako na kodi unayolipia hapo?
Mkuu umeuliza suala la msingi sana.
Ukomae uumlipe au uhame ukafungue kwenye nafuu ya kodi au ufunge mazima biashara?
Hapa kiukwel ndio maana nikamwambia dogo atoke na vitu hivyo vya msingi maana ndio ofisi yenyewe , temporary niihamishie kwenye hifadhi ya muda
Ila kiukweli kwa ujumla hali ya biashara Tz imekuwa ngumu sana wa sasa, mzunguko wa biashara umekuwa wa kusuasua kwa wengi
Hatar sanaa mkuu. Mtu mwingine anaweza asielewe
 
wewe ndio umempa changamoto landlord..
Sawa mkuu
haiwezekani ucheleweshe kodi miezi kadhaa halafu ukae kimya
Sikukaa kimya
vipi kama wewe ungecheleweshewa malipo katika biashara yako huku expenses zinasubiri kulipwa on time?
ni kawaida sana kwenye biashara, inatokea sana kucheleweshewa malupo na wateja wangu. Si kitu kigeni ila kwakua najua watalipa bas huwa najua namna ya kutafuta pesa ili ku run issue bila wao kukwama. Kwa mfanya biashara hii ni kawaida sana
Hivi hukusoma economics kuwa rent is a fixed expenses and cant be avoided?
Sijasoma economics mkuu. Am an IT guy
Show your respect, go and apilogise
SAwa..respect should be either ways
 
Inauma sana na majirani wq kibongo walivyo ndo wanapatia pa kuchekea ila watz kwa unafiki tu tuko vizuri, yawezekana kuna mtu anapahitaji km mdau alivyoshauri hapo juu
 
Una roho ngumu ndio maana microfinance yako ipo vizuri
 
Hapana napokea na hata majuzi, tulikaa chini kuwekana sawa kuhusu hili but kuna jambo sikulitimizia. Alitaka niji commit kwa barua , sasa mambo kama haya nikaona sio.
Mkuuu jicommit kwenye Io Barua mliyokubaliana huenda ameona Labda umemsumbua au landlord Ni mtu ambaye hataki konakona Na usumbufu kwenye Biashara take.....just cool mrejee Tena landlord myajenhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…