kwa sasa bora u work from home kwanza hata haiathiri kazi yako then badae huko mtafute fremu tu za kawaida muweke as ofisi kama vile wanasheria wengi au business consultancy wengi wanavyofanyaMkuu umeuliza suala la msingi sana.
Hapa kiukwel ndio maana nikamwambia dogo atoke na vitu hivyo vya msingi maana ndio ofisi yenyewe , temporary niihamishie kwenye hifadhi ya muda
Hatar sanaa mkuu. Mtu mwingine anaweza asielewe
BEi za kawaida tu kama biashara ikiwa sawa ...700kKodi unalipa sh ngap kwa mwezi?
eeh hili lazima tulijadili aiseeee ila hata lisikuumize kichwa bhana kwanza ulikua unampa kodi ya bure tuTutalijadili π
Hapa kwenye kuchekwa hapa mimi ndio pameniuma. Yan kunifungia ofisi hapa nimehisi kudhalilishwa sanaaaaa πππInauma sana na majirani wq kibongo walivyo ndo wanapatia pa kuchekea ila watz kwa unafiki tu tuko vizuri, yawezekana kuna mtu anapahitaji km mdau alivyoshauri hapo juu
Communication is among key issues in the business industry.Una roho ngumu ndio maana microfinance yako ipo vizuri
Tunajifunza kutokana na makosaCommunication is among key issues in the business industry.
I wonder how this IT guy managed to dogde the landlord and yet He come here crying for helps
anyway this is a lesson..
Hilo Ndilo kosaHapana napokea na hata majuzi, tulikaa chini kuwekana sawa kuhusu hili but kuna jambo sikulitimizia. Alitaka niji commit kwa barua , sasa mambo kama haya nikaona sio.
Kumiliki Taasisi ama kampuni inahitaji watu makini sana.Tunajifunza kutokana na makosa
Yaliwahi kunikuta tena si mara moja, fanya hivi yani hutakiwi kujali kabiiiiisa na fanya chap malizana na huyo landlord halafu piga kazi kwa hasira la msingi wahi kabla hujapoteza watejaHapa kwenye kuchekwa hapa mimi ndio pameniuma. Yan kunifungia ofisi hapa nimehisi kudhalilishwa sanaaaaa πππ
Ndio maana nikaona isiwe tabu, nisiliwaze sana hili
U sound too judgemental and u seem to overluk and misinterpreate some stufs.Communication is among key issues in the business industry.
I wonder how this IT guy managed to dogde the landlord and yet He come here crying for helps
anyway this is a lesson..
Mzee una mikwaraaπ€ΈKumiliki Taasisi ama kampuni inahitaji watu makini sana.
kijana ajitafakari sana
Kwakwel simlaumu.Naye ana maswahibu yake, pole mkuu
Mmmhhh sijajua.. ni jengo linamilikiwa na kampuni binfasi but mfanya kazi aliyenikomalia ni ManLandlord ni mwanamke ee?
Sure manMambo ya kawaida tu hayo...
Kodi ya mtu miezi 2, ulimpa taarifa kAbla?Wakuu habari ya muda huu.
Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia.
Mchana wangu umeharibika ghafla sana.π Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo kamvamia binti yangu ofisini na kumsihi amkabidhi funguo ya ofisi.
Na imekuwa kama coincidence maana this whole week sijatokea kabisa ofisini kwa kukimbizana na issue nje ya ofisi.
Yaani licha ya kulipa kodi kwa uaminifu siku zooote quarter hii biashara imeyumba nika delay 2 months.
Nimepigiwa simu na binti yangu na kiukweli nikaona isiwe ishu, nimempa maelekezo machache tu ili kusudi shughuli zisikwame. Kichwa kisha jam hiki. Let me clear my mind first, nitayawaza badae.
π π .
View attachment 3003640