Sasa wewe hapo ulipo nyumbani kwako unategemea umwone nani zaidi ya waliomo nyumbani mwako? Na kama unaishi peke yako ghetto ndio basi tena huwezi kuona mtu. Lakini ujue kila mtu huko alikojificha anatupia comment, na ndani ya dakika moja kuna maelefu ya comments yanatupwa.Mkuu kuna wakati unakaa kama dakika 5 ukirudi unakuta uzi mpya na reply kama 200, unajiuliza hawa watu wapo hapahapa tz?? Mbona hatuwaoniiiiii
Wanatafuta nini!Kingine humu JF wamejaa maafisa usalama
Hujui maafisa usalama au usalama wa taifa kazi yao nn??Wanatafuta nini!
Exactly😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Huu uzi wako umenichekesha sana... Duuh, huu ni kiboko. Utakuwa sio uzi bali waya kabisa...
JF ni ya ma great thinkers... Tatizo lako wewe unaji associate na veeelazer ndio maana huwaoni wakitupia post humu...
HahahahaNilikuwa nimetoka nimerudi tena kujibu comment yako Mkuu
Nawashangaa maana sie wana JF tupo salama kabisa nyuma ya keyboard😀😀😀Hujui maafisa usalama au usalama wa taifa kazi yao nn??
Wewe unatafuta kiki ni huyo Dingi yako..me juzi ndo nimemdakua Dingi ..na sikujua kuwa no expert member hapa jukwaani na jina anslotumia duu..mpaka nimechoka..sitaki hata kulitaja nami asijenidakua..
Ohooooo....[emoji87] [emoji87]unavyosema mjamaa unamaanisha miss natafuta ni kidume cha mbegu!!
Its true hata mim cjawahi kumfaham member wa jf
Kingine humu JF wamejaa maafisa usalama
Wewe nitajie mkoa wako tu, siku nitaibuka na hautoaminimkuu STUNTER fanya ivooo siku nikikubamba na t-shirt yako nitacheka sana kwa post zako
Usife moyo mkuu,Hahahah aisee we jamaa umeongea mawazo yang kabisa. Binafsi JF nilianza kuipenda bila kushawishiwa na mtu ni kama zali tu nikajikuta addict wa JF lakini chakushangaza ndugu, jamaa na marafiki zangu wote nikiwauliza kama wanapitaga humu hakuna ata mmoja mwenye mpango nayo. Alaf pia JF inavichwa kinoma natamani nikutane uso kwa macho na member kadhaa ila nahisi watakuwa feki
Hata mimi sijui wakati gani my girlfriend huwa anajamba? Lakini najua anapupu[emoji12].
hahaaahView attachment 396557
Hatujaribiwi aiseeee