Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,607
- 4,263
Sasa wewe hapo ulipo nyumbani kwako unategemea umwone nani zaidi ya waliomo nyumbani mwako? Na kama unaishi peke yako ghetto ndio basi tena huwezi kuona mtu. Lakini ujue kila mtu huko alikojificha anatupia comment, na ndani ya dakika moja kuna maelefu ya comments yanatupwa.Mkuu kuna wakati unakaa kama dakika 5 ukirudi unakuta uzi mpya na reply kama 200, unajiuliza hawa watu wapo hapahapa tz?? Mbona hatuwaoniiiiii
Kwani wewe unapotupia comments au kupost thread kuna mtu anakuwa anachungulia nyuma yako?