Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

Mkuu kuna wakati unakaa kama dakika 5 ukirudi unakuta uzi mpya na reply kama 200, unajiuliza hawa watu wapo hapahapa tz?? Mbona hatuwaoniiiiii
Sasa wewe hapo ulipo nyumbani kwako unategemea umwone nani zaidi ya waliomo nyumbani mwako? Na kama unaishi peke yako ghetto ndio basi tena huwezi kuona mtu. Lakini ujue kila mtu huko alikojificha anatupia comment, na ndani ya dakika moja kuna maelefu ya comments yanatupwa.

Kwani wewe unapotupia comments au kupost thread kuna mtu anakuwa anachungulia nyuma yako?
 
Unataka tujuane unadhan huku ni FB Ooop!! Mimi ndio nakumegea kademu kako mpaka kananifwata JF
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Huu uzi wako umenichekesha sana... Duuh, huu ni kiboko. Utakuwa sio uzi bali waya kabisa...
JF ni ya ma great thinkers... Tatizo lako wewe unaji associate na veeelazer ndio maana huwaoni wakitupia post humu...
Exactly
 
me juzi ndo nimemdakua Dingi ..na sikujua kuwa no expert member hapa jukwaani na jina anslotumia duu..mpaka nimechoka..sitaki hata kulitaja nami asijenidakua..
Wewe unatafuta kiki ni huyo Dingi yako..
 
unavyosema mjamaa unamaanisha miss natafuta ni kidume cha mbegu!!
Ohooooo....[emoji87] [emoji87]
Yaani nilikua nimepanga kesho nianze kumzoza..[emoji39] [emoji39]
 
JF kuna acc hewa nyingi sana humu, mtu mmoja ana accs hata 6
 
Its true hata mim cjawahi kumfaham member wa jf
1473363818695.jpg

Bila shaka tume fahamiana sasa
 
Hahahah aisee we jamaa umeongea mawazo yang kabisa. Binafsi JF nilianza kuipenda bila kushawishiwa na mtu ni kama zali tu nikajikuta addict wa JF lakini chakushangaza ndugu, jamaa na marafiki zangu wote nikiwauliza kama wanapitaga humu hakuna ata mmoja mwenye mpango nayo. Alaf pia JF inavichwa kinoma natamani nikutane uso kwa macho na member kadhaa ila nahisi watakuwa feki
Usife moyo mkuu,
Wapo watu real kabisa
 
kesho utakuwa wapi nijekutumia computer zenu niandae nondo kali zaidi ya mange kinambi na mechi kali juu ya serikali.
 
Sasa mkuu unazungumzia comments 500 kwenye taifa la watu million 50 kasoro, angalia ratio yake hapo, lazima upate tabu sna kuwapata, wapo ila ndio hvyo. Tena katka hizo comments kuna reply kibao.. Usikute waliochat wachache tuu.
 
Back
Top Bottom