daaah! basi kaka ata mm nilikua nafanya upekuzi nitoke na bint mmoja wa jf lkn kwa style iyo baaasi!Ohooooo....[emoji87] [emoji87]
Yaani nilikua nimepanga kesho nianze kumzoza..[emoji39] [emoji39]
Nitaanzia kwenye mabasi ya mwendo kasi, Mpaka night clubs.... Stay awakemimi nipo dar mkuu
mm naisi nitakuona kwenye mabasi ya mwendo kasi hapoNitaanzia kwenye mabasi ya mwendo kasi, Mpaka night clubs.... Stay awake
mkuu swali gani hilo???hapo upo choon mkuuu??
Yaani nitazunguka kona zoote, So usikondemm naisi nitakuona kwenye mabasi ya mwendo kasi hapo
Upo sahihi kabisa mkuuSocial medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Kutokujuana inasaidia mtu kuwa huru na kuchangia chochote anachojisikia au anachoamini.Kuna mmoja kidogo tujuane, alitupia uzi akiongelea wakina mama na dada zetu wanaosuguliwa miguu na kucha pale mwenge na mimi nikawa nipo eneo hilo hilo na hao akina mama nawaona kabisa na yeye kwenye uzi alieleza yupo palepale. Nilipo mtext kupitia PM hakujibu na akalog out kabisa nafikiri hata ID ile haliachana nayo kabisa. Sijui kwanini hawataki tujuane?
Afeu wewe huwa nakutafuta humu sikuoniiiibilisi mie huwa natumia nikiwa popote pale sema tu huwa huichungulii simu yngu. kesho jaribu kufatilia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu embui angalia mm na wewe nani wa kwanza kujiunga humuu!!Social medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Mkuu mbona ugomvii??Sasa wewe hapo ulipo nyumbani kwako unategemea umwone nani zaidi ya waliomo nyumbani mwako? Na kama unaishi peke yako ghetto ndio basi tena huwezi kuona mtu. Lakini ujue kila mtu huko alikojificha anatupia comment, na ndani ya dakika moja kuna maelefu ya comments yanatupwa.
Kwani wewe unapotupia comments au kupost thread kuna mtu anakuwa anachungulia nyuma yako?
Unadhani ni ugomvi basi? Huo ujumbe umeandikwa kiutani, sema tu tafsiri yako imekuelekeza kwenye ugomvi.Mkuu mbona ugomvii??
Jukwaa hili haliitaji hasiraa
Kwani Verified User wewe unaelewa ni member wa aina gani?!Kuna verified member humu..... Hahahahah waangalie hao
Mie niko Iramba,weye uko wapi?