Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

Ohooooo....[emoji87] [emoji87]
Yaani nilikua nimepanga kesho nianze kumzoza..[emoji39] [emoji39]
daaah! basi kaka ata mm nilikua nafanya upekuzi nitoke na bint mmoja wa jf lkn kwa style iyo baaasi!

kumbe VIJEBA!!!
 
mi nikiwahi kumbamba jamaa mmoja tunasoma nae
 
Kama tunavyotumia ID fake aka hewa! Hata huku nje ni hewa, huwezi kuona mtu.
 
Mtoa post kama vile upo akilini mwangu, nami huwa najiuliza hili swali lakini naishia kushangaa tu. Hapa kazini kwangu tupo hamsini na nne lakini sijawahi kuona mtu akijishighulisha jamii forums, zaidi wanapenda kuingia insta, whatsap na FB ila nimejitahidi kupiga debe watu wajiunge nimeambulia wawili tu na wenyewe wanaingia dakka sifuri wanatoka. Ila nimegundua watu wanaojiunga jf na kuchangia mada mbalimbali au kuzianzisha ni watu wenye fikra pana sana, wanaotaka kujua vitu kwa upana zaidi. Binafsi kama sina kazi ya kujishughulisha siwezi kaa hata dakika tano bila kuingia JF. Namshukuru sana mgunduzi wa JF
 
Kuna mmoja kidogo tujuane, alitupia uzi akiongelea wakina mama na dada zetu wanaosuguliwa miguu na kucha pale mwenge na mimi nikawa nipo eneo hilo hilo na hao akina mama nawaona kabisa na yeye kwenye uzi alieleza yupo palepale. Nilipo mtext kupitia PM hakujibu na akalog out kabisa nafikiri hata ID ile haliachana nayo kabisa. Sijui kwanini hawataki tujuane?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Kuna mmoja kidogo tujuane, alitupia uzi akiongelea wakina mama na dada zetu wanaosuguliwa miguu na kucha pale mwenge na mimi nikawa nipo eneo hilo hilo na hao akina mama nawaona kabisa na yeye kwenye uzi alieleza yupo palepale. Nilipo mtext kupitia PM hakujibu na akalog out kabisa nafikiri hata ID ile haliachana nayo kabisa. Sijui kwanini hawataki tujuane?
Kutokujuana inasaidia mtu kuwa huru na kuchangia chochote anachojisikia au anachoamini.
Chukulia mfano katika jukwaa la MMU jinsi watu wanavyochangia halafu uwe unamjua mtu na michango yake ni sheedah huoni utaanza kumchukulia tofauti?
Au gf wako yupo humu akachangia unaweza umwache kwasababu ya comments tu pia unaweza kumdharau mtu kwasababu ya jinsi anavyochangia au kumchukia
Inaleta raha na uhuru na ndio raha ya kuwa nyuma ya id fake
 
Social medias zina level..facebook inawatu wa level flan (watoto) istagram imejaa mabishoo..JF inagreat thinkers..kwahyo we bado unakua kimawazo..ukifika level flani itabidi uachane na FB na Insta..uwe Expert member wa JF
Mkuu embui angalia mm na wewe nani wa kwanza kujiunga humuu!!
tena hii ni ID mpyaa, ukitaka nakupa ya 2010
 
Sasa wewe hapo ulipo nyumbani kwako unategemea umwone nani zaidi ya waliomo nyumbani mwako? Na kama unaishi peke yako ghetto ndio basi tena huwezi kuona mtu. Lakini ujue kila mtu huko alikojificha anatupia comment, na ndani ya dakika moja kuna maelefu ya comments yanatupwa.

Kwani wewe unapotupia comments au kupost thread kuna mtu anakuwa anachungulia nyuma yako?
Mkuu mbona ugomvii??
Jukwaa hili haliitaji hasiraa
 
Back
Top Bottom