Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808
Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000.

Silaha zilizonyakuliwa zilitumiwa na Hezbollah kushambulia raia wa Israeli na zilikusudiwa kutumiwa kama sehemu ya mpango wa uvamizi wa Hezbollah wa 'Ishinde Galilaya'.

Uwezo wa kijeshi wa kikundi cha kigaidi cha Hezbollah umeshuka kwa kiasi kikubwa kutokana na operesheni za ardhini za IDF.

View: https://x.com/IDF/status/1872560978522472684?t=w9TEwo52uYwaOAV6QXWJVQ&s=09

Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy
 
View attachment 3186219

Hezbullah hana silaha za hivyo wacheni uwongo, toka lini Hezbullah alikuwa na mizinga afu hizo silaha sijui za Ukraine wanadangan'ya watu.

Hezbullah awachie Israel silaha wachukue hahaha punguzeni uwongo.
 
Mkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF

Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds

Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.
 
Hapo kuna silaha za Hezbullah labda aina mbili tu, hizo silaha zingine sio za Hezbullah. Afu we tuambie vipi Israel apate hizo silaha wakati Hezbullah walisha ondoka yani Hezbullah mabwege waliwacha silaha zao sio. Unless uwe bwege ndio utawamini mabwege wenzako.
 
Navyomjua Mmarekani na Israeli, anaweza kusafirisha silaha zake mwenyewe, kisha akazificha halafu akazitafuta mwenyewe na kuziteka, baadaye akautangazia umma kwamba ni silaha za adui zimekamatwa.

Famasikhara, nini?!
Kwa hiyo wewe ni mojawapo wa Hezbollah??mbona wao hawajajitokeza kukanusha mavaa Kobazi bhana akili hakuna
 
Hiii mijamaa baada ya kuzidiwa kwa hoja za wazi kabisa na ukweli wawazu kabisa kuwa IDF imedundwa sasa ndio wanaangaika kutafuta uwongo wauleta kuonesha hezbollah ilishindwa. Lkn awawezi potosha JF lkn wakadanganyane kwenye vijiwe vyao kisha wakamuane pesa au Sadaka.
 
Mkuu ashakujibu?
Anakusanya Intel mkuu nadhani atakuja na majibu mazito tusimkatie tamaa
Hapo kuna silaha za Hezbullah labda aina mbili tu, hizo silaha zingine sio za Hezbullah. Afu we tuambie vipi Israel apate hizo silaha wakati Hezbullah walisha ondoka yani Hezbullah mabwege waliwacha silaha zao sio. Unless uwe bwege ndio utawamini mabwege wenzako.
Mkuu Adios
Ina maana hakuna silaha nyingine ambayo Hizbullah waliipata au kutengeneza zaidi ya hizo mbili unazozijua wewe tu

Kupata silaha kwenye battlefield kwani ni ajabu watu huwa hawakimbii kambi??
Wanakamatwa askari wakiwa mateka ndio ishindikane hizo silaha mkuu

Tuletee hata ka video basi kutoka Hizbullah kuonyesha hizi si silaha zao sio unatubishia wakati wote tunategemea hizi source zao.
 
Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000.

Silaha zilizonyakuliwa zilitumiwa na Hezbollah kushambulia raia wa Israeli na zilikusudiwa kutumiwa kama sehemu ya mpango wa uvamizi wa Hezbollah wa 'Ishinde Galilaya'.

Uwezo wa kijeshi wa kikundi cha kigaidi cha Hezbollah umeshuka kwa kiasi kikubwa kutokana na operesheni za ardhini za IDF.

View attachment 3186219

View: https://x.com/IDF/status/1872560978522472684?t=w9TEwo52uYwaOAV6QXWJVQ&s=09

Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy

hizibola ni kikundi na izraeli ni taifa haiwezi kushndana
 
Hezbullah hana silaha za hivyo wacheni uwongo, toka lini Hezbullah alikuwa na mizinga afu hizo silaha sijui za Ukraine wanadangan'ya watu.

Hezbullah awachie Israel silaha wachukue hahaha punguzeni uwongo.
angalia hata you tube maonyesho ya silaha yanayofanywa na hezbollah hiyo mizinga ipo
 
Mkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF

Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds

Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.
Watu hawakufika hata 5km ndani ya lebanon,mara wamekwala silaha elfu 85,na wakangoja leo ndiyo watuoneshe, mwezi baada ya cease fire!!?..wanavyopenda sifa tungeshaona kitambo hayo
 
Malizana kwanZa na hamas hezb Bado zimebaki siku 30 tuanze Tena usiwe na haraka

❗️🇵🇸 After over a year of brutal constant fighting, the Al-Qassam Brigade's frequency of operations is almost the same as it was during the first few months of the war.

📈🇵🇸 Not only are the frequency of their attacks almost the same, but in the past two weeks they have begun to diversify their types of operations, including sneaking up on and stabbing IDF soldiers on numerous occasions, and carrying out suicide bombings against them, sometimes whilst disguising themselves as IDF soldiers.

🦾🇵🇸 If, after more than an entire year of constant war with the IDF, the Qassam Brigades are able to continue fighting at the same pace and even sacrifice more of their men in risky operations, it clearly shows their strength and capabilities are fully intact.

🥷🏼🇵🇸 Recently, the IDF admitted that Al-Qassam recruited around 4000 new fighters over the past months. Alongside this, we know Al-Qassam produces many of their weapons locally, and they can make explosive devices, Al-Yassin 105's, guns, bullets and hand grenades from almost scrap metal and basic nitrates. This means Qassam will never run out of weapons, and they will never run out of men, unless the war continues for many years.

🇵🇸 How are you going to defeat a group who can continue making weapons for years and years, and has an entire population of hundreds of thousands of Palestinian men at their hands ready to join their ranks and fight? The Palestinian Resistance will remain forever.
 
Kama kushindwa ndio huko yaan wanapiga hapa Leo baada ya siku 10 wanarudia baada ya siku 10 wanarudia Tena Sasa watamaliza lini?
 
Anakusanya Intel mkuu nadhani atakuja na majibu mazito tusimkatie tamaa

Mkuu Adios
Ina maana hakuna silaha nyingine ambayo Hizbullah waliipata au kutengeneza zaidi ya hizo mbili unazozijua wewe tu

Kupata silaha kwenye battlefield kwani ni ajabu watu huwa hawakimbii kambi??
Wanakamatwa askari wakiwa mateka ndio ishindikane hizo silaha mkuu

Tuletee hata ka video basi kutoka Hizbullah kuonyesha hizi si silaha zao sio unatubishia wakati wote tunategemea hizi source zao.
Jamaa hakubali tu. Si ajabu atakwambia hata Iran hakishambuliwa na akaambiwa akae kimya au achapwe zaidi!
 
Mkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF

Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds

Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.

Cha ajabu wakat Hizbo wamavurumisha makombora waliwasifia kusema jamaa wana silaha za kisasa Israel haiwawez maana
Hizbo sio Kama Hamas ambao wanategemea AK47 na mzinga ya kutega wakasema jamaa wana state of the art missile na drones

Leo wanasema sio zao
 
Haaaaa kipondo anachopokea zayuni Fake sio poa nyie mnajipa moyo uku kule alitete Telaviv aisee yani THAAAD Iron Don inapewa chuma mboga na high technology ya Yemen kweli duniani zama zinamwisho!!! Mungu mkubwa aibu aibu taifa teule hoi,
 
Back
Top Bottom