Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

Navyomjua Mmarekani na Israeli, anaweza kusafirisha silaha zake mwenyewe, kisha akazificha halafu akazitafuta mwenyewe na kuziteka, baadaye akautangazia umma kwamba ni silaha za adui zimekamatwa.

Famasikhara, nini?!
Basi tufanye na akina Hanniye, Nasrah, Sinwar na wengine waliouliwa na IDF ni wa mchongo waliwekwa na Israel na Marekani. Tumbaf kabisaa
 
Mkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF

Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds

Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.
Israel ameshatengeneza staged evidence kibao na uwongo mwingi.
Hizbollah hatumii silaha za namna hiyo maana hakuna Iranian made weapon hata moja hapo.
Pia Hizbollah hatumii mizinga bali maroketi na makombora.
Pia silaha za Hizbollah huwa zinafichwa katika mahandaki huwezi ziona kiwepesi hivyo.
Propaganda za Israel zimeshafeli na watu wameshazichoka maana uongo mwingi.
 
Cha ajabu wakat Hizbo wamavurumisha makombora waliwasifia kusema jamaa wana silaha za kisasa Israel haiwawez maana
Hizbo sio Kama Hamas ambao wanategemea AK47 na mzinga ya kutega wakasema jamaa wana state of the art missile na drones

Leo wanasema sio zao
Walituambia lsrael ikijaribu kuivamia Lebanon itakuwa ndio mwisho wao maana Hezbollah wanasiraha kali zinazoweza kuiangamiza middle east yote ila sasaivi wanaamisha magoli mdogo mdogo
 
Walituambia lsrael ikijaribu kuivamia Lebanon itakuwa ndio mwisho wao maana Hezbollah wanasiraha kali zinazoweza kuiangamiza middle east yote ila sasaivi wanaamisha magoli mdogo mdogo
Bila ya USA na UK kuingilia kati unadhani Israel ingekuaje!?
Au unajisahaulisha kuwa Hizbollah ilianza kushambulia hadi ndani ya Tel Aviv na maafa yalishaanza kuonekana!?
 
Hapo kuna silaha za Hezbullah labda aina mbili tu, hizo silaha zingine sio za Hezbullah. Afu we tuambie vipi Israel apate hizo silaha wakati Hezbullah walisha ondoka yani Hezbullah mabwege waliwacha silaha zao sio. Unless uwe bwege ndio utawamini mabwege wenzako.
Hezbollah walikimbia kusini mwa Lebanon bwana acha ubishi. Ulitegemea wakimbie na silaha zao kwenda Beiru?
 
Mkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF

Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds

Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.
Achana na mtu mwenye ndevu zilizochakaa
 
Hezbullah hana silaha za hivyo wacheni uwongo, toka lini Hezbullah alikuwa na mizinga afu hizo silaha sijui za Ukraine wanadangan'ya watu.

Hezbullah awachie Israel silaha wachukue hahaha punguzeni uwongo.
Hezbollah wa Illolangulu huko lyambamgongo katika analysis
 
Hezbullah hana silaha za hivyo wacheni uwongo, toka lini Hezbullah alikuwa na mizinga afu hizo silaha sijui za Ukraine wanadangan'ya watu.

Hezbullah awachie Israel silaha wachukue hahaha punguzeni uwongo.
Adiiioooooos Aaamiiiigoooooo Adiooooos my friend Hezbollah wana artillery mbona
 
Anakusanya Intel mkuu nadhani atakuja na majibu mazito tusimkatie tamaa

Mkuu Adios
Ina maana hakuna silaha nyingine ambayo Hizbullah waliipata au kutengeneza zaidi ya hizo mbili unazozijua wewe tu

Kupata silaha kwenye battlefield kwani ni ajabu watu huwa hawakimbii kambi??
Wanakamatwa askari wakiwa mateka ndio ishindikane hizo silaha mkuu

Tuletee hata ka video basi kutoka Hizbullah kuonyesha hizi si silaha zao sio unatubishia wakati wote tunategemea hizi source zao.
We akili zako Hezbullah alizitupa silaha bada ya kusimamisha vita hahaha Israel kaziokota au sio.
 
Back
Top Bottom