š¤£š¤£š¤£š¤£Navyomjua Mmarekani na Israeli, anaweza kusafirisha silaha zake mwenyewe, kisha akazificha halafu akazitafuta mwenyewe na kuziteka, baadaye akautangazia umma kwamba ni silaha za adui zimekamatwa.
Famasikhara, nini?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
š¤£š¤£š¤£š¤£Navyomjua Mmarekani na Israeli, anaweza kusafirisha silaha zake mwenyewe, kisha akazificha halafu akazitafuta mwenyewe na kuziteka, baadaye akautangazia umma kwamba ni silaha za adui zimekamatwa.
Famasikhara, nini?!
Basi tufanye na akina Hanniye, Nasrah, Sinwar na wengine waliouliwa na IDF ni wa mchongo waliwekwa na Israel na Marekani. Tumbaf kabisaaNavyomjua Mmarekani na Israeli, anaweza kusafirisha silaha zake mwenyewe, kisha akazificha halafu akazitafuta mwenyewe na kuziteka, baadaye akautangazia umma kwamba ni silaha za adui zimekamatwa.
Famasikhara, nini?!
Israel ameshatengeneza staged evidence kibao na uwongo mwingi.Mkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF
Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds
Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.
Walituambia lsrael ikijaribu kuivamia Lebanon itakuwa ndio mwisho wao maana Hezbollah wanasiraha kali zinazoweza kuiangamiza middle east yote ila sasaivi wanaamisha magoli mdogo mdogoCha ajabu wakat Hizbo wamavurumisha makombora waliwasifia kusema jamaa wana silaha za kisasa Israel haiwawez maana
Hizbo sio Kama Hamas ambao wanategemea AK47 na mzinga ya kutega wakasema jamaa wana state of the art missile na drones
Leo wanasema sio zao
Bila ya USA na UK kuingilia kati unadhani Israel ingekuaje!?Walituambia lsrael ikijaribu kuivamia Lebanon itakuwa ndio mwisho wao maana Hezbollah wanasiraha kali zinazoweza kuiangamiza middle east yote ila sasaivi wanaamisha magoli mdogo mdogo
Hezbollah walikimbia kusini mwa Lebanon bwana acha ubishi. Ulitegemea wakimbie na silaha zao kwenda Beiru?Hapo kuna silaha za Hezbullah labda aina mbili tu, hizo silaha zingine sio za Hezbullah. Afu we tuambie vipi Israel apate hizo silaha wakati Hezbullah walisha ondoka yani Hezbullah mabwege waliwacha silaha zao sio. Unless uwe bwege ndio utawamini mabwege wenzako.
Achana na mtu mwenye ndevu zilizochakaaMkuu una Intel kali sana kuwazidi hadi IDF
Sisi wa huku Uyole tulitegemea uonyeshe ni zipi silaha za Hezbullah walizokuwa wanamiliki huko kwenye battlegrounds
Maana Israel wameonyesha walichokikamata field na wewe unaepinga onyesha kilichosahihi.
Hezbollah wa Illolangulu huko lyambamgongo katika analysisHezbullah hana silaha za hivyo wacheni uwongo, toka lini Hezbullah alikuwa na mizinga afu hizo silaha sijui za Ukraine wanadangan'ya watu.
Hezbullah awachie Israel silaha wachukue hahaha punguzeni uwongo.
Adiiioooooos Aaamiiiigoooooo Adiooooos my friend Hezbollah wana artillery mbonaHezbullah hana silaha za hivyo wacheni uwongo, toka lini Hezbullah alikuwa na mizinga afu hizo silaha sijui za Ukraine wanadangan'ya watu.
Hezbullah awachie Israel silaha wachukue hahaha punguzeni uwongo.
We akili zako Hezbullah alizitupa silaha bada ya kusimamisha vita hahaha Israel kaziokota au sio.Anakusanya Intel mkuu nadhani atakuja na majibu mazito tusimkatie tamaa
Mkuu Adios
Ina maana hakuna silaha nyingine ambayo Hizbullah waliipata au kutengeneza zaidi ya hizo mbili unazozijua wewe tu
Kupata silaha kwenye battlefield kwani ni ajabu watu huwa hawakimbii kambi??
Wanakamatwa askari wakiwa mateka ndio ishindikane hizo silaha mkuu
Tuletee hata ka video basi kutoka Hizbullah kuonyesha hizi si silaha zao sio unatubishia wakati wote tunategemea hizi source zao.