The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hii ni documentary au ni kwenye uwanja wa vita?
Kwa sababu hata TZ, Rwanda au Malawi wanaweza kutoa makala kama hiyo ya kuelezea uwezo wa majeshi, vyombo vyao vya ulinzi na usalama ikijumuisha vifaa na silaha zao. Mwisho wa siku vita ni mipango na mikakati.
Narudia Tena, hapa watu wataleta ushabiki kama wa kwenye timu za soka, na kusahau vita inahusisha maisha ya watu. Tuombe amani ipatikane, vita ni ya kuisikia tu Kwa wengine sio jambo zuri hata kama unafikiri unavifaa na vikosi imara.