Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

Hii imetokea wapi mkuu?
 
Hiyo ikipigwa haitoi sauti, ni vibration tu kama simu lakini inauwa watu 1000 kwa nusu dakika

Halafu ikiwaua hawatoki damu, damu inaganda ndani kwa ndani

Afrika nzima ni viongozi wawili tu wanalindwa na silaha hiyo
Mkuuu..mkuuu..kwanini unakua muongo hivyo..? 🤣🤣🤣
 
Haa mnachekesha sana aisee,Chadema mnavituko sana.
sasa anamlinda muheshimiwa alafu silaha kaiweka nyuma ya mgongo!?
 
Hiyo ndiyo inaitwa Bombadieee, ni hatari sana adi kampuni ya kutengeneza ndege ikaomba kutumia jina lake
 
Hakuna ubishi SILAHA KUBWA KWA LISSU NI MUNGU WA MBINGUNI
 
Kama nimewahi kuiona kwenye picha ya rambo.
 
Hata mm nilicheki iyo video ja a ikibidi niwe mpole haieleweki ni nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…