Silaha ya mlinzi wa Lissu imenitoa ushamba

Wakuu,

Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.

Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.

Kombora sio kombora, mkuki sio mkuki, upinde sio upinde, Rpg sio rpg

View attachment 1600189
. Hakika imenitoa ushamba sana.

Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.
Mwenye still
 
Hapo umeandika nini bwa shee?

We ukiangalia ulichoandika hujishangai?
 
Wakuu,

Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.

Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.

Kombora sio kombora, mkuki sio mkuki, upinde sio upinde, Rpg sio rpg

View attachment 1600189
. Hakika imenitoa ushamba sana.

Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.
Hiyo silaha ina itwa 19ND 2l ni silaha ambayo watu wanao husika na mapenzi ya njisia moya hutumia kumuenzi mwanajeshi wa marekan lews brown alieye igundua 1972
Uwezo wake ni wakawaida inapiga 600mta na inatumia 4magazine
 
Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.
Mwanvuli ule, maana jua la Afrika Mashariki ni kali mno kuliko kule aliko kuwa kwa muda wa miaka takribni mitatu.
 
Hivi i
Wakuu,

Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.

Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.

Kombora sio kombora, mkuki sio mkuki, upinde sio upinde, Rpg sio rpg

View attachment 1600189
. Hakika imenitoa ushamba sana.

Naomba mwenye kuijua anipe taarifa zake ili siku nikipata ukwasi wa kutosha na mimi nikainunue kwaajili ya ulinzi binafsi.
Asante.

Hv ilkuwa ni nini?!
 
Hiyo ni harpoon kama mtu mmoja alivyosema hapo juu hutumika hasa kuvulia samaki
 
Back
Top Bottom