Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

Silaha ya Ushindi iliyobakia kwa CHADEMA ni moja tu, nayo ni silaha ya fedha

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,651
Reaction score
1,129
CHADEMA ilishatumia silaha nyingi sana lakini zimekuwa zikiyumba au kutokuleta matokeo mazuri

Silaha iliyobakia ni moja tu ambayo ni silaha ya pesa

CHADEMA itakapochangiwa na Wananchi fedha nyingi matokeo yake itakuwa CHAMA hatari sana sana ambacho hakijawahi kutokea

Kitakuwa ni CHAMA tajiri na kitakuwa na uwezo wa kufanya jambo lolote lile kitakalotaka

Hakutakuwa tena na kushindwa kwenye angle yeyote kwasababu itakuwa na fedha za kutosha kukamilisha mipango itakayopanga

15308.jpg
 
Sawa mkuu ngoja tuendelee na tone tone alafu tumnunulie mwenyekiti wetu TAL vieiteeeee akitoka magereza ili mapambano yaanze upyaaaaaaa
 
Sawa mkuu ngoja tuendelee na tone tone alafu tumnunulie mwenyekiti wetu TAL vieiteeeee akitoka magereza ili mapambano yaanze upyaaaaaaa
Nguvu ya pesa inahamisha milima na ndiyo iliyobakia kwasasa
 
Pesa haina nguvu dhidi ya Dola Mzee
Baba.

Hata wachange ziwe kama za Elon musk, siasa inahitaji watu, ukishamiliki watu umemiliki kila kitu.

CHADEMA haina watu.
Wanaikubali chadema kutokana na agenda zake lakini sio chama kama chama.

Mfano kama chadema ingekuwa na watu wale kindaki ndaki. Ingefanya jaribio la kutoa tamko, maandamano ya free Lisu. Nchi nzima. Na yangetokea bila kujali kuna vyombo vya dola au laa.
 
Back
Top Bottom