Pesa haina nguvu dhidi ya Dola Mzee
Baba.
Hata wachange ziwe kama za Elon musk, siasa inahitaji watu, ukishamiliki watu umemiliki kila kitu.
CHADEMA haina watu.
Wanaikubali chadema kutokana na agenda zake lakini sio chama kama chama.
Mfano kama chadema ingekuwa na watu wale kindaki ndaki. Ingefanya jaribio la kutoa tamko, maandamano ya free Lisu. Nchi nzima. Na yangetokea bila kujali kuna vyombo vya dola au laa.