Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 657
- 1,540
Uchawa pro max tu, hakuna cha uzalendo wala nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile chetu is the one and only, hivyo watu ni wale wale nchi ile ile na mambo yale yale, tukiwaambia watu ukweli mchungu,kuwa kitatawala milele, hawaamini!。Hivi Paskali, nani aliyefanya mambo yaliyotufikisha hapa tulipo? Ni hao hao ambao wanaendelea kugawana majukumu jinsi wanavyotaka.
Halafu tunataka hao hao watutoe tulipo. That is to insult our own intelligence 😂 😂 😂 😂 😂
Angalia tarehe ya bandiko hili Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?Pascal kwahiyo wewe unaamini kabisa Magufuli alifiriki tarehe 17 tena hapo Emilio Mzena memorial hospital?
Zamani scouting inafanyika shuleni picking the best brains。Ujasusi wa leo ni tofauti na wa jana. We must have a composed person with high level of integrity and can vision far beyond the desks of politicians.
Nakiri hili kwa sababu nimekuja kujua late kuwa TZ hakuna UPINZANI at all .Kile chetu is the one and only, hivyo watu ni wale wale nchi ile ile na mambo yale yale, tukiwaambia watu ukweli mchungu,kuwa kitatawala milele, hawaamini!。
P
Ujasusi wa leo ni UMBEA. Paskali kafanya nini nani kafanya nini. Etc kazi za TISS wa sasa hata layperson can do ….. ni kuchunguza maisha ya watu na kuwa mmbea na kubeba uhusika wa ukichaa that is as FucqZamani scouting inafanyika shuleni picking the best brains。
P
Okay baada ya mchonga kuachia ngazi , si kwa matakwa yake bali organ aliyeianzisha mwenyewe ilimkataa kwa sera zake mbovu za uchumi.
Na ilikuwa kwa lengo zuri , ili kufufua uchumi ulio kufa, ss hawa mabwana wamenogewa hawataki kuachia asali, na Wala hawejengi misingi mizuri kila citizens afaidi keki ya company, wao wanajiangalia wao na kizazi cha 3, imefikia hatua mpaka wanamiliki makundi ya utekaji na uhalifu, so saivi wanapukutishwa ibakie ngome MOJA TU, isiyo kuwa na wahuni na wasaliti
Zamani scouting inafanyika shuleni picking the best brains。
P
Wanabodi
Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!.
Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa chochote!.
Kumbe huyu ndie shujaa wa Taifa, aliwezesha Rais Samia kutangazwa. Hayuko peke yake, kuna silent hero kwenye wale vijana wetu wa idara, Baada ya JPM kutwaliwa ile tarehe ile, vijana mashujaa wazalendo wakajua mipango miovu iliyokuwa ikipangwa, wakamtonya Chahali na Chahali bila kupoteza muda, akaipandisha youtube as breaking news.
Huku nyuma, wakakausha kimya as if nothing happened!, wakamtuma Samia Tanga kumzuga ili wafanye yao. Baada ya breaking news ya Chahali, Zanzibar walifuta shughuli zote, huku bara zikiendelea as if nothing happened!.
Usikute ni kitendo cha Chahali kumuacha the cat out of basket ndio kimepelekea CDF kujua, na kuingilia kati!.
Its high time wazalendo hawa wa taifa hili, wawe rewarded accordingly.
Hii ni barua yake kwa Mama ..
C&P
Dear Mama @SuluhuSamia: Mtu Huyu Hana Nia Nzuri Nawe, Anataka Kukufarakanisha Na Baadhi Ya Watu Wanaokusapoti
JAN 9
Dear Mama Samia,
Heri ya mwaka mpya 2025. Na uwe na heri na mafanikio.
Jana nilikutwiti Mama, kuhusiana na video iliyochapishwa juzi na mtu anayeitwa Cyprian Musiba, ambaye alinitaja kuwa miongoni mwa watu wanaokutukana, sambamba na kushirikiana na raia wa kigeni kukuhujumu na kuhamasisha uvunjifu wa amani.
Dear Mama, huyu mtu hajaanza tabia hii leo. Februari 2018, alinitaja kuwa miongoni mwa “Watu Hatari” waliopanga kuipindua serikali ya marehemu John Magufuli.
Na kwa takriban miaka mitatu mfululizo, aliendelea kunichafua kwa nguvu kubwa kupitia magazeti yake ya Tanzanite na Sayari Yetu na chaneli yake ya YouTube.
Dear Mama, sitaki kutumia tukio hili kuwa kama fursa ya mimi “kujisafisha” kwako, kwa sababu sijawahi katika wakati wowote ule kufanya chochote kile dhidi yako, sio tu kwa sababu wewe Mama ni Mkuu wa nchi bali pia kwa sababu bado nina imani na matumaini katika uongozi wako.
Ikumbukwe kwamba mimi ndiye nilikuwa Mtanzania wa kwanza kutangaza kuhusu kifo cha marehemu Magufuli, sio kwa sababu iwe breking news bali kwa sababu kulikuwa na mipango miovu ya kukiuka katiba kukuzuwia Mama usiwe rais.
Kadhalika, mara baada ya kufanikiwa kukwamisha jaribio hilo la ukiukwaji wa katiba na wewe Mama kuapishwa, nilikuwa mmoja wa watu wachache maarufu kujitokeza hadharani kukemea matusi dhidi yako yaliyojificha kwenye kivuli cha uanaharakati.
SIMULIZI ZA JASUSI
[Tahadhari Ya Matusi Ya Nguoni] Huu Sio Unaharakati, Haya Ni Matusi Na Udhalilishaji Dhidi Ya Mama Samia.
EVARIST CHAHALI
MAY 17, 2021
“Kushindwa kuonya ni dhambi kubwa kabisa katika taaluma ya intelijensia.” Naam, sisi ambao bado tunaendelea kuwa wadau wa taaluma hiyo (hadi tunaingia kaburini) tunawajibika kuepuka dhambi hiyo.[/URL][/TD]
Na pengine mwanao Abdul hajawahi kukufahamisha kwamba niliwahi kuwasiliana nae nilipopata taarifa kuhusu mpango dhalimu wa kukuchafua mtandaoni, mpango uliomhusisha mtu mmoja ambaye sasa anajitanabaisha kama mtetezi wako mtandaoni.
Japo Abdul, hakunijibu, lakini naamini ujumbe husika ulifika na pengine kupelekea kutofanikiwa kwa mpango huu.
Tofauti na anavyojaribu kujinasibu muda huu, huyo mtoa tuhuma amekuwa miongoni mwa watu wanaoneza propaganda kwamba kifo cha marehemu Magufuli kilikuwa sio mapenzi ya Mungu bali “kazi ya watu waliouwa wanaiwinda nafasi yake (marehemu).” Nina hakika vijana wako wa Idara ya Usalama wa Taifa wanaweza kukuthibitishia hilo.
Kadhalika, alichofanya Musiba ni mwendelezo tu wa genge fulani ambalo linaamini kwamba kwa vile sijawahi kukukosoa katika namna nilivyokuwa namkosoa marehemu Magufuli - kwa sababu zilizo wazi - basi labda “unaweza kunikumbuka”.
Lakini kubwa zaidi, katika mwaka huu wa uchaguzi, kuna hofu kwamba labda nikaombwa kushiriki kwenye kampeni zako, kama nilivyoombwa mwaka 2015 kushiriki kwenye kampeni za marehemu Magufuli. Kwahiyo kinachofanyika ni ku- “preempt” uwezekano huo.
Mwisho, Dear Mama, mara kadhaa nimetanabaisha kuwa miongoni mwa sababu zinazonifanya niendelee kukuunga mkono, licha ya wajibu wangu wa kiraia, ni heshima yangu kwa wanawake. Marehemu mama yangu (Mwenyezi Mungu amlaze mahali mema peponi) alinifundisha kuwa “kila mwanamke ni taswira ya mama yako”, na kwangu heshima kwa “mama zangu” ni kama “amri ya Mungu”, sio suala la mjadala bali la lazima.
Kadhalika, Dear Mama, binafsi nina deni kubwa la shukrani kwako. Japo haipendezi kumsema vibaya marehemu, lakini kulifanyika majaribio kadhaa ya kunidhuru wakati wa utawala wa marehemu Magufuli, lakini mara baada ya wewe kuingia madarakani, umefanikisha kukomesha hilo japo watendaji wasio watiifu kwako waliwahi kufanya jaribio moja lililofeli.
Licha ya hilo, hata kijarida hiki na vinginevyo ninavyoandika sasa vinasomwa nchini Tanzania kutokana na wewe Mama kuondoa zuio la TCRA dhidi ya vyombo mbalimbali vya habari rasmi na visivyo rasmi kama kijarida hiki. Japo kuna “wasio na shukrani” wanaoweza kusema “ah si ametekeleza tu wajibu wa kikatiba”, sie tuliolelewa na kufundwa kuhusu umuhimu wa kushukuru, tunafahamu bayana kuwa hili liliwezekana tu kutokana na utashi wako na wala sio wajibu wa kikatiba, kama ambavyo ruhusa yako kwenye mikutano na maandamano ya wapinzani ilivyotokana na utashi wako binafsi na sio shinikizo lakikatiba/kisheria.
Uniwie radhi kwa kukuchukulia muda wako adimu lakini nimeonelea ni vizuri kuweka rekodi sawia, na wala sio kwa kuhofia kwamba unaweza kuamini tuhuma za Musiba - mzushi mzoefu aliyewahi kuwazushia tuhuma nzito za uongo viongozi mbalimbali nchini.
Nimalizie kwa kukutakia tena heri ya mwaka mpya.
Jamhuri ya Muungano, Kazi iendelee 🙏
Mwisho wa kunukuu
My Take.
Everist Chahali anastahili kupewa maua yake, tena kwa viwango vyangu mimi, huyu mtu anastahili kuwa DGIS!.
Uzalendo wake ni kama uzalendo wangu, tofauti yake na mimi, yeye ni Tiss, hivyo ana access na vyombo husika ikiwemo reaching out the core people akiwemo Abdul.
Mimi uzalendo wangu, kwa vile sio mtu wa kule, naufanyia humu JF only.
Hata mimi pia niliwahi kumuandikia barua Dear Mama... Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...
Kiukweli Erick Kabendera ametusaidia sana watu kufunguka!. Aliyefunguka hapa ni TISS kwenye barua hiyo ni TISS!.
- 2014 Nilipotonywa kuwa JPM ndio anakuja kuwa rais wetu, nikaelezwa sababu ni kwa nini JPM, niliripoti humu Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
- JPM alipoanza kupangiwa mipango miovu, niliripoti humu Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
- Mabeberu walipoanza mipango miovu, niliripoti humu US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
- JPM alipobadili sheria ya madini na rasilimali za taifa, nikauliza humu tutaweza kumlinda?. Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?
- Its very unfortunately tulishindwa kumlinda akatwaliwa!.
- Samia alipoingia akajua ni amekuwa rais wa Tanzania kwa kudra tuu za Mwenyeezi Mungu, hakujua kuna watu walimtabiria Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
- Kuna mambo yanatokea kama kudra za Mwenyezi Mungu, kumbe ni yame kudurishwa "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
- Rais Samia baada ya kuingia, tunamsupport Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
- Tunaendelea kumsaidia Rais Samia. Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?
- Na kwa urais wa 2025 kupitia mserereko wa CCM tumeshauri HII kitu!
Paskali!.
Hiyo 12 hapa ni 9.Angalia tarehe ya bandiko hili Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?
P
Nasikitika kuona kuwa umechelewa sana Kuling'amua hili, ila analo Kiasili na ndiyo linamgharimu Kutwa tu kiasi kwamba yupo yupo tu wakati Wenzake 'wanaukata' tu kila Kukicha.Pasco unaweka hadi mabandiko ya kuji brand mtu unashindwa kujua unapigia chapuo nini! Sasa mabandiko ya 2015 yanahusika vipi? Unaji brand sana
Chahali nadhani yuko huko na bado yuko kazini, ni namna tu aishi vipi huko ughaibuni ila bado anaitumikia serikali ya JMT kwa uaminifu mkubwa.Anafaa kuwa nani sasa? Rais au Mwenyekiti wa Chama cha habari au CEO wa kampuni yako?
Huwa siwaamini kabisa spies. Mtu aliye nje ya system sababu ya kukizanzana na maboss wake kwenye kazi anayoipenda sana, unamuaamije anamaanisha anachosema?
Just for your information, the guy is one of those rare local species with the art of disguising the public. He is good at deception
Mkuu Mayalla vipi nikimwangalia maza ni kama anajiandalia mazungira mazuri kwa kampeni zake hasa kwa hizi tetesi za kumdhamini Mbowe nadhani lengo lake akipita Mbowe kwenye uenyekiti na kwa kuwa atakuwa amewezeshwa na mama atamuwekea mgombea ambaye atakuwa soft au atakayepangiwa yapi ayaseme kwenye kampeni.Mkuu Ozon, ni kweli ila ni baadhi tuu,hii thread sio ya watoto!。
P
Mkuu Megalo, Megalodon , kwanza nimefarijika sana kwa kauli yako hii, you are a genuine person, watu genuine ni wachache na most times ni wanachukiwa na society, wanachukiwa na wengi kwasababu ni wakweli kupitiliza, Mwalimu Nyerere was one of them, JPM was another, hata TAL akipunguza u ropo ropo!. Thanks for genuity!.Nakiri hili kwa sababu nimekuja kujua late kuwa TZ hakuna UPINZANI at all .
TrueIla Paskali you have to trust , dunia inavyokwenda … kitaibuka chama cha Upinzani chenye Tija and along the way Katiba itabadilishwq hata kwa kumwaga damu and that will be the end of CCM
TrueKUKITOA chama kilichotawala 60 years not so easy , with disaster…. Some days kitatoka
This is very true, na hili la kizazi kife kiibuke kingine, hata mimi nimelisema Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Kuna kizazi fulan lazima KIFE ndio changes zitokee…. Vijana wanazidi kuchanganyikiwa siku baada ya siku and CCM are not smart kukabiliana na hali huko mbeleni…. They still have old version of doing things
Nakubaliana na wewe, my initial calculatins was 2030, but kumetokea fursa 2025 kupitia TAL!. Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?It is matter of time
Chahali alitimkia Scotland kabla ya utawala wa Magufuli, huko unakosema sijui alitaka kupandishwa cheo na JPM ni uongo uliokubuhuKamwa kweli ni mzalendo mwambie aje hadharani kutoboa siri ya kilichomkuta JPM mara tu baada ya kutoka kufungua majengo ya polisi kule Kurasini hapo ndipo urejee kumsifia mtu mwenye kiburi, jeuri , ujuaji nk. TISS safi hajiweki hadharani kama huyu alivyo, huyu anatafuta maslahi tu, ndio maana kipindi cha mwanzo cha utawala wa JPM walikuwa marafiki sana lakini JPM alipombaini ni ndumila kuwili akaghairi kumpandisha cheo kwenye kitengo na wenzie waliokuwa wananyemelea walipogundua uchonganishi ukachochewa hadi huyu mtu wa milimani akatimkia Uskochi huko hadi leo.
No, huyu ni mtu wa intelligence ambaye pia ni intelligent,wengi wa huko siku hizi ni majinga tuu, ndio maana yalishindwa kumprotect yule mtu wetu。Chahali nadhani yuko huko na bado yuko kazini, ni namna tu aishi vipi huko ughaibuni ila bado anaitumikia serikali ya JMT kwa uaminifu mkubwa.