Kuna zile fikra za "Ku take risk" ukiwa barabarani na Una full confidence kuwa unatoboa kwasababu huwa unafanyaga hivyo Kila siku.
Barabarani sio sehemu ya kufanya michezo ya kitoto kabisa, dereva mmoja anaweza kuwa sahihi kabisa lakini akauliwa na Makosa ya dereva mwenzake, Ukigongana na Lori lazima kuwe na Maiti, Madereva wa malori wanafanya kazi kwenye kampuni zenye presha na vitisho Sana na mazingira Yao magumu Sana, miaka nenda Rudi mtu Hana hata kiwanja huyo kwanini stress za kazi zisimmalize barabarani.