SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

Kuna zile fikra za "Ku take risk" ukiwa barabarani na Una full confidence kuwa unatoboa kwasababu huwa unafanyaga hivyo Kila siku.

Barabarani sio sehemu ya kufanya michezo ya kitoto kabisa, dereva mmoja anaweza kuwa sahihi kabisa lakini akauliwa na Makosa ya dereva mwenzake, Ukigongana na Lori lazima kuwe na Maiti, Madereva wa malori wanafanya kazi kwenye kampuni zenye presha na vitisho Sana na mazingira Yao magumu Sana, miaka nenda Rudi mtu Hana hata kiwanja huyo kwanini stress za kazi zisimmalize barabarani.
 
Sahh kabisa Madereva kama Lake enegies posho kidogo ,stress tupu
 
Mkuu ni aibu njia hizi kubwa ,Dar-Tunduma,Dar-Mwanza,Dar-Arusha-Tanga.
Barabara kama vichochoro ...sasa njoo na aina ya Maderava wetu hapo ndio kisanga kinakuja.

1.Wanaotembea na full tokaa giza liingie
2.Wanaowazwa kutokupitwa tu toka aanze safari.
3.Wanaotembea kama kobe kwenye hizi barabara kuu
4.Wanaoharibikiwa magari na hawaweki viashiria vyovyote
5.Wanaoendesha mabasi muda wote wako nyuma ya muda na kuwahi pasipo kuangalia wapi ni wapi.
6.Wanaoendesha madude ya mizigo bila kuja kuwa hayo ni death trap muda wowote likiwa mwendo mkali na aina ya barabara ni kisanga
7.Kuna hawa SM.STK,SU...wao sheria ni zao plus na magari ya jeshi la polisi +Mabus ya wajeda yale(kidogo wana nidhamu)
8.Kuna bajaj hizi zinazotembea njia kubwa kubwa usiku,,,ongeza na guta...
9.Njoo na magari mabovu
 
Greenline T672 ELT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…