Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

🤣🤣🤣 Mkuu unaonaje hapa Simba ushindi Kwa clean sheet?
clean sheet ni ngumu Azam nao huwa wanashambulia ,Tena mabeki wa Simba wawe makini
 
Naona umemuwahi FORTALEZA
 
Simba na Azam ni sawa na kusema wanakutana Mkubwa na Mwanae.
Wala hampatagi shida ya kuchukua point tatu, Hata Ajib mmewapa bure tu.

Nawajuza mapema kuwa Kombe linaenda kwa Mkubwa
Hongereni Simba kwa ubingwa wa Mapinduzi Cup.

Pia mwambieni Sakko awe anashangilia magoli yake kwa burudani kama za Mayele, Hiyo staili yake ya kuchambua mchele haina mvuto.
 
kumbe mnajua mkubwa ni nani,Sasa imekuwaje mkapigwa na mtoto , Leo mechi ni saa 2:15 angalia kwa kurelax uone baba na mtoto wanavyoipiga na mtoto anavyopokea kichapo
 
kumbe mnajua mkubwa ni nani,Sasa imekuwaje mkapigwa na mtoto , Leo mechi ni saa 2:15 angalia kwa kurelax uone baba na mtoto wanavyoipiga na mtoto anavyopokea kichapo
Sisi tulichungulia mziki wa Simba kisha tukaangalia kikosi chetu kilijaa watoto kina Nkane. Machale yakatucheza, tukaamua kuwaachia msala Azam.

Wala hatuna haja ya kuangalia game, maana Bingwa tayari ameshajulikana mapema. Sisi tumeamua kwenda kuwafungia kazi Coastal union, maana tunautaka ubingwa wa ligi kuu msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…