Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
Simba ushindi wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
clean sheet ni ngumu Azam nao huwa wanashambulia ,Tena mabeki wa Simba wawe makini🤣🤣🤣 Mkuu unaonaje hapa Simba ushindi Kwa clean sheet?
Alivyochezesha nyie basi mnahisi atatamba hata kwetu?TEPSI EVANCE TEPSINHO
Naona umemuwahi FORTALEZAMichuano ya Mapinduzi Cup 2022 inafikia tamati leo kwa mechi ya fainali kupigwa, AzamFC dhidi ya Simba SC. Katika fainali za mwaka 2017 na 2019 timu hizi zilikutana na zote AzamFC kaibuka bingwa. Je, AzamFC kutwaa taji hili kwa mara ya tatu mbele ya Simba SC ama Simba SC kulipa kisasi?
Tunakuletea LIVE mech hi kuanzia
saa 2:15 usiku.
Leo pia
Kutakuwa na VITA YA UFUNGAJI BORA: Hawa ndiyo vinara wa mabao kwenye Mapinduzi Cup 2022 , kila mmoja akiwa ametupia mabao mawili. Sasa leo kutakuwa na vita kati ya Iris Ilunga Mbombo wa Azam dhidi ya Pape Ousmane Sakho, wote wana mabao mawili kila mmoja...Je, unampa nani nafasi ya kuibuka mfungaji bora mwaka huu? Wengine walioaga mashindano wakiwa wamefunga magoli mawili kila mmoja ni:
Hussein Mwinyi - Meli 4 City.
Heritier Makambo - Yanga.
Abrahman Othman - KMKM SC
Tukutane saa 2:15 kwenye fainali LIVE
Yoyote yuko huru kuanzisha uzi, kikubwa usikose kuwepo hapa jukwaani uone wanamume wakichukua ndoo na chama atakuwepo jukwaaniNaona umemuwahi FORTALEZA
Nimesikia nurkovich naye tayari!Yoyote yuko huru kuanzisha uzi, kikubwa usikose kuwepo hapa jukwaani uone wanamume wakichukua ndoo na chama atakuwepo jukwaani
Yule wa Kaizer?Nimesikia nurkovich naye tayari!
Ndio naona na uzi ushafunguliwa humu humuYule wa Kaizer?
kumbe mnajua mkubwa ni nani,Sasa imekuwaje mkapigwa na mtoto , Leo mechi ni saa 2:15 angalia kwa kurelax uone baba na mtoto wanavyoipiga na mtoto anavyopokea kichapoSimba na Azam ni sawa na kusema wanakutana Mkubwa na Mwanae.
Wala hampatagi shida ya kuchukua point tatu toka kwa Azam, Hata Ajib mmewapa bure tu.
Nawajuza mapema kuwa Kombe linaenda kwa Mkubwa
Hongereni Simba kwa ubingwa wa Mapinduzi Cup.
Pia mwambieni Sakko awe anashangilia magoli yake kwa burudani kama za Mayele, Hiyo staili yake ya kuchambua mchele haina mvuto.
Bora wapo watu huwa wanavamia kazi za watu.Uzi umefunguliwa mapema sana
na iwe hivoNimesikia nurkovich naye tayari!
Sisi tulichungulia mziki wa Simba kisha tukaangalia kikosi chetu kilijaa watoto kina Nkane. Machale yakatucheza, tukaamua kuwaachia msala Azam.kumbe mnajua mkubwa ni nani,Sasa imekuwaje mkapigwa na mtoto , Leo mechi ni saa 2:15 angalia kwa kurelax uone baba na mtoto wanavyoipiga na mtoto anavyopokea kichapo
Ila kiukweli hatuwezi kumlipaNdio naona na uzi ushafunguliwa humu humu