Simba 1-0 Azam FC | Simba yatwaa ubingwa kombe la Mapinduzi

mpaka hapa imestahili kuwa fainal mpaka sasa hakuna kibonde
 
Ilipigwa cross kwenye lango la azam hapa ila mpira umeokolewa
 
unazuga tu hapo wakati nje umevalia jez ya Azam ndani una jezi ya [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Ajibu kaguswa kidogo lakini alivyoruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…