kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Dk 21... Bado Milango ni Migumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa AZAM wakiendelea hivi NBC itanoga zaidiAzam huu mpira wakicheza kwenye ligi ya NBC basi mpaka mwisho wa ligi watakua nafasi ya pili wakitanguliwa na Simba nafasi ya kwanza alafu Polisi Tanzania nafasi ya tatu.
🐸 fcSipotezi muda wangu kuangalia mataputapu
Wanajiamini ila tumewadhibiti kwenye kiungo, najua hawawezi kumantain hii pace waliyoanza nayo.azam wanacheza kwa kujiamin sana leo[emoji848][emoji848]
WhyBwalya atoke mapema