TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
-
- #21
Naamini mapambano yaliyomanaushwa hapo ni yaliyo ndani ya wigo wa sheria, na sio extra judicial killings/torture.Nanukuu......
' Na yoyote atakaye vunja sheria, Tupambane nae kabisa sababu anatufanyia jambo baya kabisa, jambo la dhambi'
Watawasuuzaš¤£Askari game nnavowajua hawatalaza damu.
Nafikiri baada ya huu msala, wanaume wengi wa kimasai watakimbia maboma yao ma kwenda kujificha maporini huko, mabomani watabaki wanawake na watoto.Hapo kuna balaa kubwa sana.
Mimi sitaki kuingilia.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, simba hao wanadaiwa kulishwa mzoga wenye sum
Sheriaa imetajwa mara nyingi humo
Kwanza tukubaliane waliofanya haya walijua kabisa wanavunja sheriaNaamini mapambano yaliyomanaushwa hapo ni yaliyo ndani ya wigo wa sheria, na sio extra judicial killings/torture.
Kutoka hawatoki..Hao wamasai walioua Simba watalipa gharama kubwa sana kwa walichokifanya. Watajuta. Ninaisihi serikali iwaondoe hao masai haraka sana eneo hilo wasije kusababisha madhara zaidi.
Utakuta ni hao hao wameua hao simba halafu wanatafuta sababu ya kuwatoa hao wamasai hapo...Askari game nnavowajua hawatalaza damu.
Hatutaki kuondoka.Hao wamasai walioua Simba watalipa gharama kubwa sana kwa walichokifanya. Watajuta. Ninaisihi serikali iwaondoe hao masai haraka sana eneo hilo wasije kusababisha madhara zaidi.
Sheria ifuate mkondo wake, sio kuwapiga watu au kuwaua kisa wameua Simba.Kwanza tukubaliane waliofanya haya walijua kabisa wanavunja sheria
Ingekuwa Simba mmoja wangejihami kuwa wanajilinda
Lakini Simba 10, ni pre meditated
Sasa fikiria akili zao hao walioua hao Simba, halafu TANAPA wanazunguka ndani ya msitu kuchunguza wanajikuta nao wanaanza kushambuliwa, nadhani hapo kwenye kutekeleza sheria hapo ndio kila mmoja atatafisiri kivyake
Hahahahahahaš¤£Nimeshtuka nikajua Simba wa msimbazi
Halafu hii possibility sio ZERO.Ukiona hivyo ujue hilo eneo lishapata mteja.
Wewe ni msemaji wao? Keyboard warrior acha maneno mengiKutoka hawatoki..
Serikali inachekesha sana..
Mnashindwa kufuatilia matukio ya utekaji na mauaji ya Watanzania wanakomaa kutafuta nani kaua simba...
Wakati ule walimtafuta Faru John hadi wakapata mzoga wake...
Ila Watanzania kila siku wanauawawq kikatili na watu hawana habari...
Unapigwa miti...
Subiri kifuatacho ili kupata jibu la swali lako.Simba ni muhimu zaidi kuliko wamasai?