Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Nina miaka 18 naangalia EPL nimewahi ona hili goli mara 1 tu Rooney aliwafunga Man City 2011 kama sikosei
Mwaka 2018 C.Ronaldo na Bale wote kwenye Champions League walipiga magoli kama haya.
 
Game muhimu sana hii kwenye safari ya Mnyama kubeba makombe kuanzia kitaifa hadi kimataifa

#Nguvumoja
 
Mpira huu ili simba ajiweke kwenye nafasi ya kutoka na ushindi ni kucheza kwa kukaa na mpira pamoja na kuepuka pasi ndefu ambazo mara nyingi nimeona zikipotea

Though tunaongoza ila hawa majamaa wako serious sana, wana press kwa kasi yani wao kufika golini kwa pasi imekuwa simple ila sisi ni mpaka tupige counter attack

Tukiweza ku hold mpira tunaibuka na ushindi, ila pia wachezaji wakiwa na spirit ya kiumoja kama mwanzo itaturahisishia sana kuliko u selfish wa kutaka kuonekana na mashabiki
 
Narudia tena, matatizo ya Simba Sc ni ya kisaikolojia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…