park don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 4,923
- 7,048
Hakika, Mechi za wakubwa hizi, wakae wachukue notesUzuri huku hakunaga wachawi tunacheza na wajuaji wenzetu, sio ligi ya bongo watu wanaongoza ligi kwa uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, Mechi za wakubwa hizi, wakae wachukue notesUzuri huku hakunaga wachawi tunacheza na wajuaji wenzetu, sio ligi ya bongo watu wanaongoza ligi kwa uchawi
Mwaka 2018 C.Ronaldo na Bale wote kwenye Champions League walipiga magoli kama haya.Nina miaka 18 naangalia EPL nimewahi ona hili goli mara 1 tu Rooney aliwafunga Man City 2011 kama sikosei
Acha akae nje, taasisi kubwa haziwezi kukubali upumbavu wa mtu mmoja mdogo kama Morrison.Technical bench ingeona hili kuelekea mechi. BM hizi mechi ni zake
Simba nguvu moja....Hakika mkuu hujakosea ni bao la rooney enzi zake, mabao makubwa kwa tim kubwa....
Kielelezo cha soka letu ni timu ya taifaTanzania ni ya taifa kubwa linaloupiga mwingi.
Narudia tena, matatizo ya Simba Sc ni ya kisaikolojia zaidi.Mpira huu ili simba ajiweke kwenye nafasi ya kutoka na ushindi ni kucheza kwa kukaa na mpira pamoja na kuepuka pasi ndefu ambazo mara nyingi nimeona zikipotea
Though tunaongoza ila hawa majamaa wako serious sana, wana press kwa kasi yani wao kufika golini kwa pasi imekuwa simple ila sisi ni mpaka tupige counter attack
Tukiweza ku hold mpira tunaibuka na ushindi, ila pia wachezaji wakiwa na spirit ya kiumoja kama mwanzo itaturahisishia sana kuliko u selfish wa kutaka kuonekana na mashabiki