Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Bora Mhilu, siyo kwamba namdharsu Muzamiru lakini nafasi ya Sakho kumpa Muzamiru siyo weledi.Huko sub ndo hakuna cha maana kabisa.
Kosa la Onyango linatugharimu
Ushabiki mbaya sana ...yaani tmu haijafunga goli halali mechi tano mkategemea kupata ushindi kweliHii mechi tunaweza tusipate matokeo
That was not cry for helpNaona Mnalilia Mipira Iliyokufa Cheza Mpira Tengeneza Nafasi Usitegemee Mipira Iliyokufa.