Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Naona Mnalilia Mipira Iliyokufa Cheza Mpira Tengeneza Nafasi Usitegemee Mipira Iliyokufa.
That was not cry for help

Tunaongea ili mjifunze kua refa yeyote anaweza akakosea pia, sio mara zote atakuwa sahihi

Hizi habari za kusema simba anapendelewa na kubebwa ni UJINGA na nimeona UTO wengi walisema kua huku federation mtafungwa kwasababu hakuna refa wa kuwabeba

Haya refa ndo huyo kapeta penati ya wazi kabisa mtu kashika, kwa hiyo ni busara kusema ASEC wanabebwa kwasababu Simba haijapewa haki yake?

Au na sisi tuandamane kwenda kwa raisi kuilalamikia CAF kuwa wanaipendelea ASEC?
 
Kuna tofauti kubwa sana kwenye ushambuliaji baina ya hizi team Memosa akienda ameenda ila huyu Simba sasa mpaka apige pasi nyuma wakat huo jamaa wamesharudi na kuziba nafasi [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom