Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mtoto mzuri hutakiwi kufurahi mwenyewe!!!Asanteni Simba maana nafurahi kama mwehu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto mzuri hutakiwi kufurahi mwenyewe!!!Asanteni Simba maana nafurahi kama mwehu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwake yeye inamaana kubwa sana ukizingatia mashabiki walivyokuwa wanamsema plus kubwa zaidi baada ya kukosa goli ile nafasi ya wazi alijilaumu sana na mashabiki tukalaumu pia so kwake amepata relief kubwa sana na imemsaidiaHongera Banda ila umetukosea kuvua jezi. Huu ni mwanzo wa ligi sio finali. Daah
Bado...tengenezeni timu hasa straikers...kagere boko wamesha expireHii ndio Simba yetu tunaiojua...
Ukiona hivyo hawajashindaWenye busara hwatukani.
[emoji23][emoji23]Asec tawi la UtopoloView attachment 2118591
Samahani naomba namba ya mganga maana kuna shabiki wa Asec analalamika kwamba matokeo yamekuwa vice versaMganga alisema Simba wanafungwa 3-1,Mechi imepinduliwa duuh.
Wanaelekea kwa Mama keshokutwa kulalamikaSimba wameongezewa dakika nyingi ili washinde In Manara's Voice.
We ndo unajua leoKumbe boko Bado yuko vizur
Inadhihirisha umaana wa mchezaji kusajiliwa..' Majibu ni Haya' ...Mabadilikoooo......Bocco na Mhilu wameibadilisha sana hii game, wameingia na matumaini maana wale wa ndani walikuwa walikuwa wamekata tamaa.
Nimefurahi sana leo maingizo yote mapya ya usajili yamefanya kitu, Banda na Sakho[emoji91][emoji91]
Tulia WewrNguvu za soda hizi ndizo zikupotezee muda kwa mihemuko yote hiyo ilihali hata hatua ya robo fainali tu hujafika?
MAKOLO MAKOLO MAKOLO nimekuita mara 3 ustuke usiendelee kuwa MBUMBUMBU....[emoji1]