Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Lile goli la la sakho nililiona VPL kama sio 2016/2017 kwa hizi timu ndogo ndogo. Mara ya mwisho nimeliona kwa Lewandowsi mwezi wa 9 mwaka jana.
 
Jamani kama kuna mtu wa Azam TV anijuze hii game ya leo itarudiwa lini na saa ngapi?
 
Nguvu za soda hizi ndizo zikupotezee muda kwa mihemuko yote hiyo ilihali hata hatua ya robo fainali tu hujafika?

MAKOLO MAKOLO MAKOLO nimekuita mara 3 ustuke usiendelee kuwa MBUMBUMBU....[emoji1]
Wewe mzunguko wa kwanza umepigwa nje ndani na Rivers United Tena usiongee kabisa Bora aongee Biashara na Azam
 
Mana
Kuna nini tena jamani? Wameshinda Kombe la Dunia au? Yanga & Simba ni timu maarufu kwa butuabutua. Tanzania bado sana soccer.

FB_IMG_1644798011776.jpg
 
Hii timu ambayo ilikutana na simba leo wangelikutana na yanga hii wangelikuwala 10
 
Back
Top Bottom