Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaa maskini Simba yangu.. ila tutapiga la pili. Simba gufu moya
Acha kuwa na roho nyepesi mkuu. Tunafurahi pamoja na tutahuzunika pamoja. Simba gufu moyaHaya sasa baada ya kukosa nafasi nyingi tumefungwa na tutaongezwa jingine hapa.
Endelea Kutupa Updates SheikhNa stimu zenyewe za kuendelea kuangalia huu mpira naona zinakata
Uzembe uko huko mbele walikokosa nafasi za wazi zaidi ya nne, na kwa mentality ya Simba Sc hapa tayari tumepanick na litaongezwa jingine.Shiiit Uzembe sana