kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Mkono Wa Makusudi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viwango hamna tena uyo kanute ndio hovyo kabisaKazi ya mzamiru, mkude na kaonute hapo katikati ni nin?
Usijali mkuu kamati ya masaa 72 itakaa na kumuondoa huyu refa mashindanoni.Mkono Wa Makusudi kabisa
Viungo 3 wa Ulinzi wa kazi gani?Kocha fala sana Sakho katoka unamuweka mzamiru wakati Tuna Kanoute na Mkude
Naona Mnalilia Mipira Iliyokufa Cheza Mpira Tengeneza Nafasi Usitegemee Mipira Iliyokufa.Mnaosema simba inahonga marefa, oneni hapo mchezaji wa ASEC kaunawa mpira kwenye box na refa kapeta
Huko sub ndo hakuna cha maana kabisa.Viungo 3 wa Ulinzi wa kazi gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuwa sub yamejaa matakataka tuHuko sub ndo hakuna cha maana kabisa.
Kama ni rahisi peleka team yako Uto, hii sio FA ya Azam.Mchezaji Wa Simba Wameanza Kugalagala Kupoteza Muda Maana Hali Imekuwa Si Hali