Simba 3-1 ASEC Mimosas | CAF Confederation Cup | Uwanja wa Mkapa

Penalti ya Mchongo[emoji41]

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
Sasa nyinyi mletewe marefa kutoka wapi?? Mmekaririshwa misemo na zeruzeru wenu eti "mchongo"

Kuna muda mchezaji wa ASEC kashika mpira kimakusudi mbona hamkusema ilitakiwa uliwe penalty??

Tatizo mnasahau kuwa Simba ya kombe la Mbuzi sio hii ya kimataifa[emoji28][emoji28]., Nyie subirini FA tu.
 
Msamehe Bure Tu
 
Bango ni kubwa sana

000FF14A-87C0-408D-B781-08E20B6EC344.jpeg
 
Sasa nyinyi mletewe marefa kutoka wapi?? Mmekaririshwa misemo na zeruzeru wenu eti "mchongo"

Kuna muda mchezaji wa ASEC kashika mpira kimakusudi mbona hamkusema ilitakiwa uliwe penalty??

Tatizo mnasahau kuwa Simba ya kombe la Mbuzi sio hii ya kimataifa[emoji28][emoji28]., Nyie subirini FA tu.
Huko kimataifa mmebeba kombe gani braza?

Back
Top Bottom