Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Utopolo amekubali.. chukua konyagi kisichana hapo..Yanga kushiriki ligi moja na simba ni kupoteza muda tu, hawa mikia wapo mbaliiii sanaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo amekubali.. chukua konyagi kisichana hapo..Yanga kushiriki ligi moja na simba ni kupoteza muda tu, hawa mikia wapo mbaliiii sanaaaa
Kocha yupo sahihi hakuna kuremba tena na inapendeza kuchukua ubingwa kabla ya ligi kwisha ili hao anawataka wapangweAki draw au kupigwa mtakuja kuaanza kulaumu hapa
Ngoja kwanza niangalie Pira Biriani, baadae tutakutana kule nikupe mpya iliyojiri
Sawa.. kama ndiyo hivyo tayari mojaTufanye hivi goli tatu zote za Simba tuzifute,Simba waanze upya kipindi cha pili.
Kipindi cha pili kikianza itakua Simba 0 Vs 0 Mtibwa.
Sare ziendeleeyanga nawasalimia kwa jina la jamhuri ya utopolo, kwa pamoja itikieni SARE ZIENDELEE.
Kashapakia 3Usiwe na hofu na kagere, atatumbukiza goli tu!
Bwahahaaaa nguvu zao hawajazimalizia kwa mpalange wamewekeza nguvu zao kwny kaziMtibwa wakate rufaa Simba wanacheza kama wako champion league badala ya kucheza kama wako vpl
Wee. Mandondo yapo kule mto Jangwani. Huku ni Biriani tuKiporo cha leo ni cha wali maharageee
Uwii Simba inafurahishaaa
Mediii Kagereee
SaafiNyoni out
Chikwende in
Muraaa...fita ni fitaa...!!!Timu zitaanza kuwa hazitokei uwanjani, Simba ipunguze vipigo. Isicheze kama inavyocheza Champions League.