Simba 6 - 0 Yanga. Bado una nguvu za kusema Horoya wabovu?

Ulivyokanda hayo sita ulibeba hata ubingwa kwenye huo msimu au wewe raha yako ni kufunga tu magoli?
Kwani leo nivyomkanda Horoya ilikuwa game ya kuamua Bingwa? Narudi tena nilivyokukanda mabao sita Kibadeni akipiga Hat-trick kama kama Triple C leo dhidi ya AC Horoya mbele nilikuona kama Horoya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…