Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

Simba acheni ujinga wenu wa kujificha kwenye kichaka cha refa Kayoko, nyie ndio timu iliyofaidika na marefa kuliko yeyote kwenye ligi

Yani nyie ni mapuuza..yani mnaona leo kayoko kawa mwema kwenu ee..yule mwamuzi wa Kagera siku ile mliufyata...
 
Nyie mnapata wapi ujasiri wa kumlaumu kayoko? Mnajielewa kweli nyie? Tunaiongelea Simba sababu mmeandamana kumlaumu kayoko wakati point 9 mlizobeba mkipewa na waamuzi hao hao Sasa inakuwaje mnajifanya kujitoa ufahamu?
Taja point 9 za mechi ipi?? Vitaulo fc
 
Umeongea kama binti mwenye ujauzito wa miezi mitatu full mate kujaa mdomoni hadi ukasahau kutaja team uipendayo ni ipi [emoji23]

Chezea mimba ya mara ya kwanza wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimba imekujaje hapa? Ebu tumia akili bas
 
Umeongea kama binti mwenye ujauzito wa miezi mitatu full mate kujaa mdomoni hadi ukasahau kutaja team uipendayo ni ipi 😂

Chezea mimba ya mara ya kwanza wewe 😂 😂 😂
Sasa hapa hoja yako ni ipi?
 
Tatizo ni kwamba Simba wanajiona ni Timu kubwa na Bora kitu ambacho sicho.
 
Back
Top Bottom