Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja point 9 za mechi ipi?? Vitaulo fcNyie mnapata wapi ujasiri wa kumlaumu kayoko? Mnajielewa kweli nyie? Tunaiongelea Simba sababu mmeandamana kumlaumu kayoko wakati point 9 mlizobeba mkipewa na waamuzi hao hao Sasa inakuwaje mnajifanya kujitoa ufahamu?
Mimba imekujaje hapa? Ebu tumia akili basUmeongea kama binti mwenye ujauzito wa miezi mitatu full mate kujaa mdomoni hadi ukasahau kutaja team uipendayo ni ipi [emoji23]
Chezea mimba ya mara ya kwanza wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mjinga sana huyoWatu wanajadili mpira kwa facts wewe unaleta ushilawadu wa akina Lokole....ujinga ni mwingi sana
Sasa hapa hoja yako ni ipi?Umeongea kama binti mwenye ujauzito wa miezi mitatu full mate kujaa mdomoni hadi ukasahau kutaja team uipendayo ni ipi 😂
Chezea mimba ya mara ya kwanza wewe 😂 😂 😂
Jamaa anaongea kimipasho utadhani mwijaku.Watu wanajadili mpira kwa facts wewe unaleta ushilawadu wa akina Lokole....ujinga ni mwingi sana
Kmc, singida big star, na Tanzania prison mlipata point za halali? Au ulikuwa kipofu wa mda ukuangalia mechi hizo!Taja point 9 za mechi ipi?? Vitaulo fc
Iyo ni mifugo ya mangungu unafikiri kichwani zimo ni hewa tu!Mimba imekujaje hapa? Ebu tumia akili bas
KKama mmezoea kubebwa sio sisi...Kmc, singida big star, na Tanzania prison mlipata point za halali? Au ulikuwa kipofu wa mda ukuangalia mechi hizo!
chomoeni taratibu kuepuka michubuko kama inauma lakini sio kwa ubaya....Au andamaneni kama wenzenu kule mwanzaKKama mmezoea kubebwa sio sisi...