Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Mimi huwa sibishani na mbumbumbu.Kama unatetea kanute kisa hacheki nakuzidi uwezo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi huwa sibishani na mbumbumbu.Kama unatetea kanute kisa hacheki nakuzidi uwezo mkuu
Sawa ila haikuhusuHabari za muda buu wana michezo,
Kwakweli simba haina pesa hata kulinganisha na Singida big Stars, maana kiungo aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa udi na uvumba Kelvin Nashon matari ameamua kutimukia Singida Big Stars baada ya simbakukosa hela ya kumpa.
Hakuna ulazima wa kwenda Duba, huna quality prayers. Simba aibu mnayoitafuta mtaipata soon.
Kibiashara, kila mtu akibeba ngano kilo Moja wakirudi inatosha kupata pesa ya ku mnunua manzokisasa dubai wameenda kufanya nini?
Pale utopolo anapojifanya Simba lialiaMashabiki bongo mnashida mno
Huoni kwamba simba ilimsaidia kutinga hatua ya makundi klabu bingwa huku Yanga akiangukia kombe la shirikisho?Mbumbumbu/Makolokolo/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC mna shida gani vichwani?
Kwani tangu Simba ianzishwe haijawahi kwenda nnje ya nchi kujifua kisoka?
Kipindi kile Yanga anacheza na Vipers si mlikuwa mmetoka huko Misri na Tunisia, je mliporudi hapa kipi hasa kilichojiri?
Akili ni mali.
Yaani nifiatikie tetesi za kina Jemadari Said na Shafii Dauda wanaotaka likes na followers Kwa kueneza uongo?Fuatilia
Unapenda kuandika majinaa mengiiii wakati nyie mna majina mpk kuandika unachoka...mkuu acha makasiriko 😆 😆 😆Mbumbumbu/Makolokolo/Makelele/Malalamiko/Mikia/Kolowizards/Ngada FC mna shida gani vichwani?
Kwani tangu Simba ianzishwe haijawahi kwenda nnje ya nchi kujifua kisoka?
Kipindi kile Yanga anacheza na Vipers si mlikuwa mmetoka huko Misri na Tunisia, je mliporudi hapa kipi hasa kilichojiri?
Akili ni mali.
sasa dubai wameenda kufanya nini?
Ubongo uko sawa kweli?
Shida yako umejaza mavi kwenye chupi unashindwa kung’amua vitu vidogo
Kelvin awekwe benchi na Kanoute?
Nyoni.
Boko.
Mkude.
Mwenda.
Gadiel.
KIBU.
Kyombo.
Hii ni mizigo
Nyoni.
Boko.
Mkude.
Mwenda.
Gadiel.
KIBU.
Kyombo.
Hii ni mizigo
Watakuambia "sisi tunamsubiri Manzoki! Tayari ameshapanda ndege ya kutoka China, kuja Tanzania"
Lini Simba walisema wanamtaka Nashon?
Kajiunga lini?
Wameenda kufanya porter portyMzee unaina wivu hta dubai tu,sa wakienda marekani ?
Simba kiungo ndio ina assist nyingi ajabu mtu anasema kiungo kibovu ilibid aje nashon khaaa Yan nashon aje Simba kusaidia kiungo hakika uto uto utoHuna hoja wewe, lete takwimu zinaonyesha simba inaubovu wa kiungo... Otherwise ni marekebisho tu kulingana matakwa ya bench sio vinginevyo.
Mbona unabadilisha mada? Umeridhika na jibu kuhusu Ntiba kwanza? Kuhusu Kanoute na wengine wote ndio maana ameanza kuangalia kwenye mapungufu. Akikuta hawakidhi vigezo annavyovitaka atashauriKwaiyo kocha anaamini mzamiru na kanote watapiga samba