Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Simba mbovu. Kipindi cha pili inapigika. Ama sivyo Simba wakapark Bus. Maana wanaonekana hoi kwa sasa
Mpuuzi huyoKwan hujaona
Match imeisha?Futa hii
Ban ya nini?
Kwanini wewe katika malezi ulifundishwa tu lugha chafu kwa wenzioMpuuzi huyo
Match imeisha?Kwan hujaona
Lugha gani chafu?Kwanini wewe katika malezi ulifundishwa tu lugha chafu kwa wenzio
Sawa wewe mpuuzi mwenzangu hamna shida.Lugha gani chafu?
Hili👆swali kwanza ungejiuliza wewe,mechi aijaisha unaleta prediction zako viazi.Match imeisha?
Subiri sasa dogo.Hili👆swali kwanza ungejiuliza wewe,mechi aijaisha unaleta prediction zako viazi.
Unajifanya unajua kumbe hujui.Subiri sasa dogo.
Wewe sema tu wakipata sare mods wakupige ban ya wiki ili shobo zikuisheSimba mbovu. Kipindi cha pili inapigika. Ama sivyo Simba wakapark Bus. Maana wanaonekana hoi kwa sasa
Subiri dogo. Bado moja si bao katika mashindano ya mtoano.Unajifanya unajua kumbe hujui.
Ulipoleta huu uzi tu na Simba kapata goli.Adi aibu😀
hujui kitu Stellenbosch kaingia nusu kwa goli moja,ambalo wewe unasema goli moja sio kitu.Subiri dogo. Bado moja si bao katika mashindano ya mtoano.
Simba hapa ndo mwisho wake dogo. Haitaenda popotehujui kitu Stellenbosch kaingia nusu kwa goli moja,ambalo wewe unasema goli moja sio kitu.
Muwe mnakaa kimya kuliko kuonyesha madhaifu yenu ya akili waziwazi.
Mechi imeisha Simba kashinda.Simba hapa ndo mwisho wake dogo. Haitaenda popote