nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 3,017
- 9,986
HayaSimba hapa ndo mwisho wake dogo. Haitaenda popote
HayaSimba hapa ndo mwisho wake dogo. Haitaenda popote
PoleSimba mbovu. Kipindi cha pili inapigika. Ama sivyo Simba wakapark Bus. Maana wanaonekana hoi kwa sasa
Hawa Wahuni Hawajui Mpira Kuwa Nusu Fainali Timu Zote NzuriMechi imeisha Simba kashinda.
vipi huu uzi wako utaufuta?
Haa Angeomba Angepigwa Kono La Nyani ChapKama unajiamini ungeomba ban
SawaWewe sema tu wakipata sare mods wakupige ban ya wiki ili shobo zikuishe
Match ijayo Simba akipata hata draw nifungiwe miezi 2Kama unajiamini ungeomba ban
Nani akufungie shoga wewe?? 😏Match ijayo Simba akipata hata draw nifungiwe miezi 2