1)Yanga ndo timu ya kwanza kukodi ndege kwenye michuano ya cafcl.
2)Yanga ndo timu pekee Duniani kuingia mkataba mfupi zaidi kuwai kutokea.
Hizo ndo record muhimu kwa Yanga wanazojivunia.
Yanga mbona imefika mbali sana hadi NIGERIA!! Simba itaishia karibu tu kama last time!! Itaishia kuingia hatua ya makundi, ishike moja ya nafasi mbili za juu na iishie robo au nusu fainali!! Jiandaeni kufurahi Simba itakapotolewa robo, nusu au fainali!!