sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa kina Mo na yule ndugu yake walikataa.
Sasa, je hii move waliyofanya Azam kwa kuweka mpunga wa bilioni 41 ambayo ni sawa na umiliki wa hisa zote asilimia 100 za simba; je ilikuwa ni kama kisasi ama?
Sasa, je hii move waliyofanya Azam kwa kuweka mpunga wa bilioni 41 ambayo ni sawa na umiliki wa hisa zote asilimia 100 za simba; je ilikuwa ni kama kisasi ama?