Simba alikataa ofa na kuwakebehi Azam. Je, Azam kalipa kisasi kwa kuipa yanga dau nono?

Hii super league kweli ndo mtu atoe hela ile ile bilioni 20, tunapigwa
Hakuna unachoelewa kuhus soka,,
Hamna kitu kina thamani kama haki za matangazo ya televison hata huko ulaya,,
Yanaingiza mabilion ya mapesa kwa sasa..
Brand ya simba ni kubwa mnoo sasa kwa miaka hii minne 4,,
Kafanya mambo makubwa na kila mmoja anataka kuiona simba,,
Azam sio wajinga nakuhakikishia kama simba anaingia mkatba kama huo itakua maradufu ya huo wa yanga..
 
Pamoja na kutanguliza kejeli, I doubt ikiwa hata wewe unaelewa unachosema!!

Kuna vitu 3 katika hili ambavyo hutakiwi kuchanganya madesa!

1. Broadcasting Rights... hii ndiyo unayoisema wewe hapo juu!! Azam tayari wanayo Broadcasting Rights waliyosaini na TFF, na kuiwezesha Azam kurusha matangazo ya VPL. In most cases, Broadcasting Rights zinamilikiwa na vyama vya michezo kwa sababu ndio waendeshaji wa ligi husika!

2. Advertizing Rights... Hizi umilikiwa na Klabu! Hapa ni pale unapoona timu kama Arsenal inapiga uzi wa Emirates kwa sababu wameingia mkataba wa kuwatangazia bidhaa zao.

3. Contents Rights... Hii ndiyo wameingia Yanga na Azam, yaani Haki za Maudhui. Mfano mzuri chukulia msanii kama Diamond ambae kila anakoenda anaambatana na wapiga picha wake, na yake matukio anayarusha YouTube!!

Sasa leo hii ukiingia mkataba wa Haki za Maudhui na Diamond, yale matukio yake (sio ngoma anazo-release) badala ya kuya-post kwenye YouTube Channel yake, utayachukua wewe na kuyapeleka unakokujua! Kama nawe utayarusha YouTube, sawa! Kama una TV stations ambako unataka ndo uyarushe; utajua mwenyewe!!

Kwa maana nyingine, yale matukio (sio mechi wala matangazo) ya Yanga, hivi sasa yatakuwa yanarushwa na Azam! Kwa mfano, yale matukio ya wendawazimu wa Yanga kwenda kuwabeba akina Hersi, Azam atakuwa ndo mmiliki wake! Zile interview, mazoezi, na mambo mengine kama hayo; yatakuwa yanarushwa na Azam!!

That's one, and two, hebu weka ushabiki maandazi pembeni unless kama nawe ni mweupe kwenye haya mambo! Unasema:-

Hivi Klabu "iliyouza" 49% ya hisa zake FOREVER kwa TZS 20 Billion, na Klabu iliyokodisha haki zake za maudhui kwa TZS 41 Billion kwa miaka 10, ni nani hapo anayefikiri sawa sawa?!

And guess what?! Hata kama Simba ataingia mkataba wa TZS 60 Billion (compared na 41 Billion za Yanga) bado Yanga atakuwa ndie kafaidikika zaidi! WHY?

Kwa sababu hizo TZS 60 Billion ndani yake kutakuwa na share ya Mwamedi kwa sababu anamiliki 49% ya hisa za Simba!! Na mimi nakuambia hivi! Simba SPORTS CLUB kuwa na faida ile ile sawa na ya Yanga SPORTS CLUB au kuzidi, basi wanatakiwa kuingia mkataba wa angalau Sh. 80 Billion, ili Mwamedi akipata share yake, inayobaki ndo izidi hiyo 41 Billion za Yanga!!
 
Watu mnajisahaulisha mo anatoa bilioni karibia Tano mpaka SITA kuiendesha Simba kwa sasa. Kama kakataa hiyo atakua na alternative nzuri zaidi tuwe wavumilivu tu
 
Mkuu kwanza nikuweke sawa sijaongea kwa kejeli,,
Then huyo mwamedi unayemzungumzia ndio katufikisha hapa tulipo kila mtu anaizungumzia simba africa.
Caf wenyewe walideclair simba ilivyotolewa mashndano yalipoa sana..
Hiyo ndo brand ya simba now..
Mashabiki wa soka tunachokitaka ni furaha tu hizo pesa za mwamedi sjui azam wewe hazikuhusu,
Hata kama atazichkua zote na team ikaendelea kufanya vizuri kit gani kingne unataka wewe ..
Unasema pesa ztaenda kwa mwmedi na sio simba ,simba ipi na mwamedi yupi..
Kitu gani kingne unanufaika nacho kwenye soka zaidi ya furaha.
Ambayo moo anatupatia kwa sasa hiki ndo kinawafanya mnamchukia huyu mtu.
But nakuhakikushia moo yupo sana simba.
 
Mosi, sijasema pesa zitaenda kwa Mwamedi na sio Simba bali nimesema mkataba atakaoingia Simba, ndani yake kuna share za Mwamedi!!! Na ndo maana nikasema, ili Simba SC wapate sawa na Yanga, basi mkataba wao unatakiwa kuwa at least 80 Billion, kwa sababu kati ya hizo, kuna zingine zitaenda kwa mmiliki wa 49% za klabu!

Pili, hakuna anayekataa kwamba Simba imefika hapo kwa ajili ya Mwamedi lakini hoja yangu ni kwamba, ni kama mnawaona Yanga waliomilikisha contents kwa miaka 10 for 41 Billion ni kama mazwazwa fulani hivi huku mkisahau nyi wenyewe MMEKOPESHA 49% za klabu kwa ONLY 20 Billion, tena forever!!

Na kama mliweza kukopesha klabu forever kwa 20 Billion, wala sitashangaa mkataba wenu ukiwa 60 Billion au pungufu, na hapo mtashangilia na kuona Yanga kapigwa huku mkisahau 41 Billion (less tax) zote zitaingia kwenye akaunti ya Yanga, wakati "60 Billion zenu" zitakuwa shared na wamiliki!!

Na ukweli ni kwamba,mkataba huu wa Yanga na Azam nadhani itakuwa umewavuruga sana akina GSM!!

Kama Yanga hawataendekeza njaa, watakuwa na grounds za kuuza 49% ya hisa za klabu kwa angalau 50 Billion kwa sababu haita-make sense hata kidogo haki za maudhui tu, tena kwa miaka 10 wakodishe kwa 41 Billion halafu 49% ya Klabu wauze kwa 20 Billion kama walivyofanya Simba!!
 
Huyu Yanga mnayemsifu mkataba sijui nn mtambue njia imelimwa na mudi. Hata huyo senzo wenu aliletwa na mudi vilevile.
Baniani mbaya kiatu chake dawa. Na huyo azam anakimbizana na mudi vilevile
 
Mosi, sijasema pesa zitaenda kwa Mwamedi na sio Simba bali nimesema mkataba atakaoingia Simba, ndani yake kuna share za Mwamedi!!! Na ndo maana nikasema, ili Simba SC wapate sawa na Yanga, basi mkataba wao unatakiwa kuwa at least 80 Billion, kwa sababu kati ya hizo, kuna zingine zitaenda kwa mmiliki wa 49% za klabu!

Pili, hakuna anayekataa kwamba Simba imefika hapo kwa ajili ya Mwamedi lakini hoja yangu ni kwamba, ni kama mnawaona Yanga waliomilikisha contents kwa miaka 10 for 41 Billion ni kama mazwazwa fulani hivi huku mkisahau nyi wenyewe MMEKOPESHA 49% za klabu kwa ONLY 20 Billion, tena forever!!

Na kama mliweza kukopesha klabu forever kwa 20 Billion, wala sitashangaa mkataba wenu ukiwa 60 Billion au pungufu, na hapo mtashangilia na kuona Yanga kapigwa huku mkisahau 41 Billion (less tax) zote zitaingia kwenye akaunti ya Yanga, wakati "60 Billion zenu" zitakuwa shared na wamiliki!!

Na ukweli ni kwamba,mkataba huu wa Yanga na Azam nadhani itakuwa umewavuruga sana akina GSM!!

Kama Yanga hawataendekeza njaa, watakuwa na grounds za kuuza 49% ya hisa za klabu kwa angalau 50 Billion kwa sababu haita-make sense hata kidogo haki za maudhui tu, tena kwa miaka 10 wakodishe kwa 41 Billion halafu 49% ya Klabu wauze kwa 20 Billion kama walivyofanya Simba!!
Dah mkuu natamani kucheka kwa ulichoandika hapo juu,
ila sidhani.kama uelewa wako umeishia hapo mkuu,,
Nadhani unaendeshwa na ushabiki t mkuu ila you know the facts in this two issues..
 
Mosi, sijasema pesa zitaenda kwa Mwamedi na sio Simba bali nimesema mkataba atakaoingia Simba, ndani yake kuna share za Mwamedi!!! Na ndo maana nikasema, ili Simba SC wapate sawa na Yanga, basi mkataba wao unatakiwa kuwa at least 80 Billion, kwa sababu kati ya hizo, kuna zingine zitaenda kwa mmiliki wa 49% za klabu!

Pili, hakuna anayekataa kwamba Simba imefika hapo kwa ajili ya Mwamedi lakini hoja yangu ni kwamba, ni kama mnawaona Yanga waliomilikisha contents kwa miaka 10 for 41 Billion ni kama mazwazwa fulani hivi huku mkisahau nyi wenyewe MMEKOPESHA 49% za klabu kwa ONLY 20 Billion, tena forever!!

Na kama mliweza kukopesha klabu forever kwa 20 Billion, wala sitashangaa mkataba wenu ukiwa 60 Billion au pungufu, na hapo mtashangilia na kuona Yanga kapigwa huku mkisahau 41 Billion (less tax) zote zitaingia kwenye akaunti ya Yanga, wakati "60 Billion zenu" zitakuwa shared na wamiliki!!

Na ukweli ni kwamba,mkataba huu wa Yanga na Azam nadhani itakuwa umewavuruga sana akina GSM!!

Kama Yanga hawataendekeza njaa, watakuwa na grounds za kuuza 49% ya hisa za klabu kwa angalau 50 Billion kwa sababu haita-make sense hata kidogo haki za maudhui tu, tena kwa miaka 10 wakodishe kwa 41 Billion halafu 49% ya Klabu wauze kwa 20 Billion kama walivyofanya Simba!!
Mkuu hebu tuweke ushabiki pemben tuongee facts,,
Hizo b.41 unazozizungumza au b.70 zinazotajwa simba atasain azam hatoi zote kwa pamoja.
kwann hatutaki kuelewa hiki kitu.
Azam ni kama duka ana vyombo vya kurushia matangazo,anaenda kununua bidhaa ambazo ni haki za matangzo za yanga,simba.
Ambayo hio bidhaa thamani yake ni shilingi mil.200 kwa mwezi kwa alivyoithaminisha yeye.
Akinunua anaenda kuiuza na yeye anaingiza anachoingiza kila mwezi..
So hii ni directy bussness inafanyika.
Kila mtu ataingiza lakini azam yeye ataingiza zaidi.
So bidhaa inathaminishwa vipi hapa.
Bidhaa (team ya mpira) inathaminishwa kutokana na uhitaji wa watu kuitazama kwa wakati husika.
Azam anategemea afanye biashara kila mwez faida inayopatkana mounthly umo ndo yanga,simba wanalipwa kama bills anazotakiwa kulipa kila mwez.
 
Nam nichangie kidg, tunaposema mo anamiliki 49% za hisa za klabu y Simba ,ambazo thamani yake 20 billions , tukumbuke wanachama wa simba wanamiliki asilimia 51% za hisa ambazo kimahesabu ni 20.8 billions , hivyo bas naomba tuthamishe klabu ya Simba kwa 40.8 billions na sio Kama wengi wanavyosema billions 20 za mwekezaji mo dewji.
 
Pamoja na kutanguliza kejeli, I doubt ikiwa hata wewe unaelewa unachosema!!

Kuna vitu 3 katika hili ambavyo hutakiwi kuchanganya madesa!

1. Broadcasting Rights... hii ndiyo unayoisema wewe hapo juu!! Azam tayari wanayo Broadcasting Rights waliyosaini na TFF, na kuiwezesha Azam kurusha matangazo ya VPL. In most cases, Broadcasting Rights zinamilikiwa na vyama vya michezo kwa sababu ndio waendeshaji wa ligi husika!

2. Advertizing Rights... Hizi umilikiwa na Klabu! Hapa ni pale unapoona timu kama Arsenal inapiga uzi wa Emirates kwa sababu wameingia mkataba wa kuwatangazia bidhaa zao.

3. Contents Rights... Hii ndiyo wameingia Yanga na Azam, yaani Haki za Maudhui. Mfano mzuri chukulia msanii kama Diamond ambae kila anakoenda anaambatana na wapiga picha wake, na yake matukio anayarusha YouTube!!

Sasa leo hii ukiingia mkataba wa Haki za Maudhui na Diamond, yale matukio yake (sio ngoma anazo-release) badala ya kuya-post kwenye YouTube Channel yake, utayachukua wewe na kuyapeleka unakokujua! Kama nawe utayarusha YouTube, sawa! Kama una TV stations ambako unataka ndo uyarushe; utajua mwenyewe!!

Kwa maana nyingine, yale matukio (sio mechi wala matangazo) ya Yanga, hivi sasa yatakuwa yanarushwa na Azam! Kwa mfano, yale matukio ya wendawazimu wa Yanga kwenda kuwabeba akina Hersi, Azam atakuwa ndo mmiliki wake! Zile interview, mazoezi, na mambo mengine kama hayo; yatakuwa yanarushwa na Azam!!

That's one, and two, hebu weka ushabiki maandazi pembeni unless kama nawe ni mweupe kwenye haya mambo! Unasema:-

Hivi Klabu "iliyouza" 49% ya hisa zake FOREVER kwa TZS 20 Billion, na Klabu iliyokodisha haki zake za maudhui kwa TZS 41 Billion kwa miaka 10, ni nani hapo anayefikiri sawa sawa?!

And guess what?! Hata kama Simba ataingia mkataba wa TZS 60 Billion (compared na 41 Billion za Yanga) bado Yanga atakuwa ndie kafaidikika zaidi! WHY?

Kwa sababu hizo TZS 60 Billion ndani yake kutakuwa na share ya Mwamedi kwa sababu anamiliki 49% ya hisa za Simba!! Na mimi nakuambia hivi! Simba SPORTS CLUB kuwa na faida ile ile sawa na ya Yanga SPORTS CLUB au kuzidi, basi wanatakiwa kuingia mkataba wa angalau Sh. 80 Billion, ili Mwamedi akipata share yake, inayobaki ndo izidi hiyo 41 Billion za Yanga!!

Mkuu umeelezea vyema sana

Nasisitiza tena ujio wa Azam umetufungua macho kuwa kumbe hivi Vilabu vyetu vina thamani kubwa sana kuliko tunavyofikiria

Sasa ni muda muafaka kwa timu ya Simba kufanya tathimini upya kuangazia hii 20bl anayotaka kutoa Mo kama ina real value kwa 49% share ya umiliki,,, maana tunauza hizo asilimia za umiliki milele ilhali Yanga kapewa udhamini wa 41bl kwa miaka 10 tu

FCC na Serikali kwa ujumla tunaomba muingilie kati hili sakata maana tuna bahati mbaya Mo keshajipenyeza ndani ya mfumo wa Simba hvyo Baraza la wadhamini la Simba haliwezi kuhoji tena juu ya kufanya uthamini kujua real value ya hii klabu kabla mchakato wa uwekezaji haujakamilika, vinginevyo tutakuwa tumepigwa mchana kweupeee,,, Mo atakuwa kaokota dodo mchangani

Ikiwa Mo atainunua hii klabu ya Simba kwa 20bl,
Na kama Azam Media ataingia mkataba na Simba assume wa thamani ya 60bl kwa miaka 10 maana yake ni kwamba 51% ya hio pesa ( 30.6bl) itaingia klabuni na 49% ya hio pesa ( 29.4bl) itaingia mfukoni mwa Mo,,, hvyo Mo ndani ya miaka 10 tu atakuwa kesharudisha pesa yake ya kununua hisa plus faida juu kupitia tu kwa Azam media.
Hapo bado hatujacount udhamini wa makampuni mengne kama SportPesa na wengneo
 
Labda hii ndio sababu hadi sasa mnasita kutia wino huu mkataba. Mmefunguliwa macho.
 
Mhindi ni mfanyabiashara ck zote.Ndio maana mo amevizia kwa miaka ming sana kuimilik simba.
Azam media tuendelee kuiombea kwa mung izid kukua,ili klab zet zizid kuimarika.
Kwani aliyegomea zile pesa za azam huko nyuma, akaingiza wana yanga bure taifa ktk mechi ya Caf... Si ni kanjibai Manji... Jeuri, angekuwa muhaya sijui ingekuwaje...
 
Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa kina Mo na yule ndugu yake walikataa.

Sasa, je hii move waliyofanya Azam kwa kuweka mpunga wa bilioni 41 ambayo ni sawa na umiliki wa hisa zote asilimia 100 za simba; je ilikuwa ni kama kisasi ama?
Hahahahahaha watu wa yanga mna visaaa
 
Mosi, sijasema pesa zitaenda kwa Mwamedi na sio Simba bali nimesema mkataba atakaoingia Simba, ndani yake kuna share za Mwamedi!!! Na ndo maana nikasema, ili Simba SC wapate sawa na Yanga, basi mkataba wao unatakiwa kuwa at least 80 Billion, kwa sababu kati ya hizo, kuna zingine zitaenda kwa mmiliki wa 49% za klabu!

Pili, hakuna anayekataa kwamba Simba imefika hapo kwa ajili ya Mwamedi lakini hoja yangu ni kwamba, ni kama mnawaona Yanga waliomilikisha contents kwa miaka 10 for 41 Billion ni kama mazwazwa fulani hivi huku mkisahau nyi wenyewe MMEKOPESHA 49% za klabu kwa ONLY 20 Billion, tena forever!!

Na kama mliweza kukopesha klabu forever kwa 20 Billion, wala sitashangaa mkataba wenu ukiwa 60 Billion au pungufu, na hapo mtashangilia na kuona Yanga kapigwa huku mkisahau 41 Billion (less tax) zote zitaingia kwenye akaunti ya Yanga, wakati "60 Billion zenu" zitakuwa shared na wamiliki!!

Na ukweli ni kwamba,mkataba huu wa Yanga na Azam nadhani itakuwa umewavuruga sana akina GSM!!

Kama Yanga hawataendekeza njaa, watakuwa na grounds za kuuza 49% ya hisa za klabu kwa angalau 50 Billion kwa sababu haita-make sense hata kidogo haki za maudhui tu, tena kwa miaka 10 wakodishe kwa 41 Billion halafu 49% ya Klabu wauze kwa 20 Billion kama walivyofanya Simba!!
Kwani simba ni ipi na mo ni ipi?yani unajarib kusema 49% ya mo sio simba au?bro mbona kama unakua hujui kampuni zinavyoendeshwa?kwa mfano azam fc akisain mkataba azam itakua haijapata kitu wamepata wamiliki kwa kua wana 100% au?Simba kumilikiwa na Mo hakuifanyi kuyokua Simba mzee bado ni simba kwa 100%
 
Back
Top Bottom