sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hii super league kweli ndo mtu atoe hela ile ile bilioni 20, tunapigwakwenye biashars hakuna kukomoana
huwa tunaangalia maslahi zaidi
huwezi kuuza haki zako zote za matangazo wakati kuna super league inakuja
utatazamwa afrika nzima kila wiki
aliyeifanya hiyo timu iwekwe kwenye super league ni nani ?Hii super league kweli ndo mtu atoe hela ile ile bilioni 20, tunapigwa
Nadhani umechanganya madawa. Tofautisha umiliki na udhamini. Kama unasema hivyo kwa Simba, maana yake ni kwamba kwa sasa Azam (media) inaimiliki Yanga, hivyo GSM, Manji, Rostam na Taifa Gas yake na wanachama wakae pembeni wasubiri kushangilia tu. Na bahati mbaya zaidi, Bakhresa & Family ni myama lia liaSasa, je hii move waliyofanya Azam kwa kuweka mpunga wa bilioni 41 ambayo ni sawa na umiliki wa hisa zote asilimia 100 za simba; je ilikuwa ni kama kisasi ama?
Umeianzisha topic afu ujui hata unachoandika, lete post ya MO kama inaendana na ulichoandika. Usilete hisia kwenye jukwaa kubwa kama hili. Afu kama ungekua na kumbukumbu Yanga ndio iliyowahi kukataa hela za AzamKama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa kina Mo na yule ndugu yake walikataa.
Sasa, je hii move waliyofanya Azam kwa kuweka mpunga wa bilioni 41 ambayo ni sawa na umiliki wa hisa zote asilimia 100 za simba; je ilikuwa ni kama kisasi ama?
Simba ni brand kubwa mno, hizi bilioni 20 ndogo sana,Bado hainiingii akilini kuuza umiliki wa timu kwa 49% kwa thamani ya 20bl ilhali Uto wamedhaminiwa,, just udhamini kwa miaka 10 thamani ya 41bl
Simba ni brand kubwa sana nchini, kuiuza kwa just 20bl ni hujuma kubwa sana,,, tumelainishwa na tumafanikio kwa kufanya vizuri champions league lakn hii haitoshi kuifanya klabu tuuze 49% ya umiliki kwa eti 20bl
Kina Mzee Kilomoni wamepiga sana kelele juu ya hii saga, FCC nao wamejaribu kutaka kuliweka sawa
Ujio wa udhamini wa Azam media kwa Yanga, utufungue akili wana Simba wenzangu, tulitafakari kwa kina hili swala
Una point, ila ungekuwa umefuatilia mjadara wa huo mchakato ungeelewa, ni kwamba hizo club zilikuwa zinaendeshwa kienyeji mno kiasi kwamba kukawa hakuna hata mahesabu ya club kujua mapato yake na dhamani ya club,Bado hainiingii akilini kuuza umiliki wa timu kwa 49% kwa thamani ya 20bl ilhali Uto wamedhaminiwa,, just udhamini kwa miaka 10 thamani ya 41bl
Simba ni brand kubwa sana nchini, kuiuza kwa just 20bl ni hujuma kubwa sana,,, tumelainishwa na tumafanikio kwa kufanya vizuri champions league lakn hii haitoshi kuifanya klabu tuuze 49% ya umiliki kwa eti 20bl
Kina Mzee Kilomoni wamepiga sana kelele juu ya hii saga, FCC nao wamejaribu kutaka kuliweka sawa
Ujio wa udhamini wa Azam media kwa Yanga, utufungue akili wana Simba wenzangu, tulitafakari kwa kina hili swala
Kwa ufupi, Mo kalamba Dume, saizi soka litakuwa mno hapa Tanzania.Una point, ila ungekuwa umefuatilia mjadara wa huo mchakato ungeelewa, ni kwamba hizo club zilikuwa zinaendeshwa kienyeji mno kiasi kwamba kukawa hakuna hata mahesabu ya club kujua mapato yake na dhamani ya club,
sasa ikawa ngumu sana kujua thamani halisi ya club kwa kutumia njia ambazo zinakubalika katika kufanya tathimini za club.
kama sikosei kutokana na kumbukumbu zilizokuwepo simba ilionekana ina thamani ya bilion saba by that time wakati mchakato unaanza, kwa hiyo kwa Mo Dewji kuweka 20bilion bado ilionekana ni nyingi.
Upo sahihi valuations ya Simba (A+L) kwa ujumla wake ndio ilikoleta hiyo 20b... Kama kungekuwa na very firm and structural organization thaman ingekuwa even thrice ya hiyo 20bUna point, ila ungekuwa umefuatilia mjadara wa huo mchakato ungeelewa, ni kwamba hizo club zilikuwa zinaendeshwa kienyeji mno kiasi kwamba kukawa hakuna hata mahesabu ya club kujua mapato yake na dhamani ya club,
sasa ikawa ngumu sana kujua thamani halisi ya club kwa kutumia njia ambazo zinakubalika katika kufanya tathimini za club.
kama sikosei kutokana na kumbukumbu zilizokuwepo simba ilionekana ina thamani ya bilion saba by that time wakati mchakato unaanza, kwa hiyo kwa Mo Dewji kuweka 20bilion bado ilionekana ni nyingi.
Watakwamaje? Senzo atakimbia kwanini?Kwa hapa Yanga wamekwama sana. Njaa isiwe sababu ya wao kujifunga kwa miaka 10 kizembe hivi. NJAA HAIJAWAHI KUACHA MTU SALAMA. Senzo atakimbia muda si mrefu.
Hebu tuacheni kuzungumzia watani tu deal na simba tafadhali,Watakwamaje? Senzo atakimbia kwanini?
Tunaomba ufafanue haya please