Simba apewa point zake 3 dhidi ya Kagera sugar

Status
Not open for further replies.
Bila taratibu..sheria...na kanuni.Na vipi kuhusu Serengeti boys...???
Issue ya Serengeti Boys haikuwa na utata wowote. Hakuna mgongano kati ya mwamuzi na msimamizi wa mchezo. Walishindwa wao kumpeleka mhusika kwenye kipimo.

Hili la Kagera/Simba lina utata mwingi sana. Yote hayo ni ujanjaujanja wa Simba. Lile la Yanga na African Lyon, mchezaji amesimamishwa lakini bado Yanga haijapewa point za mezani
 
Halafu ushindi ukapatikana mezani...kama vike wa Simba utakavyo patikana.
 
Mimi ni shabiki wa simba lakini hizi club zinaharibu Mpira. Na sisi simba niwazembe I am not proud for that... Kagera waliofanya uhuni na simba iliyopewa point
 
Wazee wa ushindi wa mezani, jitahidini mwakani msafiri kidogo.
 
Hilo jina halina maana yoyote. Toka mechi ya Kagera/Simba kumepita saa ngapi?
Duh usiwe mbishi tafadhali, umeulizwa swali zuri na ungekuwa unajua maana yake usingehoji tena!
 
Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.


Kweli kabisa. Waache kuvizia watu
 
Duh usiwe mbishi tafadhali, umeulizwa swali zuri na ungekuwa unajua maana yake usingehoji tena!

Ubishi upi? Jielimishe kwanza!
Kamati iliundwa kwa dhamira ya kutoa majibu ndani ya saa 72. Sio masaa, maana Kiswahili ni kigumu kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…