Hahahahaha wanayanga bwana mna weweseka kwelikikao kinakaa saa 9.
PIA inasemekana wanataka kubalance mambo ili na Yanga wapewe point 3 za mechi ya African Lyoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha wanayanga bwana mna weweseka kwelikikao kinakaa saa 9.
PIA inasemekana wanataka kubalance mambo ili na Yanga wapewe point 3 za mechi ya African Lyoni.
Issue ya Serengeti Boys haikuwa na utata wowote. Hakuna mgongano kati ya mwamuzi na msimamizi wa mchezo. Walishindwa wao kumpeleka mhusika kwenye kipimo.Bila taratibu..sheria...na kanuni.Na vipi kuhusu Serengeti boys...???
kikao kinakaa saa 9.
PIA inasemekana wanataka kubalance mambo ili na Yanga wapewe point 3 za mechi ya African Lyoni.
Unataka soka la Tanzania liende bila kufuata kanuni na sheria zinazotawala game?Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Halafu ushindi ukapatikana mezani...kama vike wa Simba utakavyo patikana.Issue ya Serengeti Boys haikuwa na utata wowote. Hakuna mgongano kati ya mwamuzi na msimamizi wa mchezo. Walishindwa wao kumpeleka mhusika kwenye kipimo.
Hili la Kagera/Simba lina utata mwingi sana. Yote hayo ni ujanjaujanja wa Simba. Lile la Yanga na African Lyon, mchezaji amesimamishwa lakini bado Yanga haijapewa point za mezani
Soka la Tanzania gumu sababu ni simbakapewa angekuwa tanga safi tuuKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Ushindi ni ushindi tuWazee wa ushindi wa mezani, jitahidini mwakani msafiri kidogo.
Hilo jina halina maana yoyote. Toka mechi ya Kagera/Simba kumepita saa ngapi?unaelewa maana ya kamati ya masaa 72?
Duh usiwe mbishi tafadhali, umeulizwa swali zuri na ungekuwa unajua maana yake usingehoji tena!Hilo jina halina maana yoyote. Toka mechi ya Kagera/Simba kumepita saa ngapi?
Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.
Duh usiwe mbishi tafadhali, umeulizwa swali zuri na ungekuwa unajua maana yake usingehoji tena!
Methali nyingi za kiswahili bado zina maana mpaka sasa.Kwa mfano:Mkuki kwa nguruwe....Kweli kabisa. Waache kuvizia watu
Wanaweza kuwa wanajifariji kiana. Mwaka huu, kama iliyopita, wasahau habari ya kuchukua ubingwa. Waendelee kulea vipaji ili timu kubwa ziwachukue.Simba mna kazi sana
Habari za kupika hizi