Mkuu unakosea pia kwamba, ili soka liendelee basi sheria na kanuni zilizowekwa ni lazima zifuatwe, usitake kutuaminisha kwamba Simba ndio timu ya kwanza kufanyiwa utaratibu huu! Ifike wakati nidhamu ya soka ndani na nje ya uwanja iheshimiwe..period!Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
HahahahaaaaaaHii ndio habari mbaya niliyoipata kuliko zote wiki hii... Real sisikilizi kipindi cha michezo tena mpaka baada ya pasaka iyo j4.
Wasituletee ukinga li.ligi gani hili mitimu inabebwa bebwa tu
oyoooooooo.........BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Kuna kanuni imekiukwa ?Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Kuendelea kwenda wapi hata hao simba waspo pewa hzo pnt soka la bongo haliend kokote...Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Tulia wewe.. Sheria zinafanya kaziKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Acha ubashite....kipindi cha michezo jion hii wanasema bado matokeo ya kikao cha masaa 72 bado hayajatoka....BREAKING NEWS:
Simba apewa point zake 3 na magoli mawili baada ya kushinda rufaa yao dhidi ya Kagera Sugar...
Chanzo: Efm radio
Hakuna kushituana maana hata yanga aliwahi beba ubingwa baada ya azam kupokwa pointi tatu. Simba naye aliwahi nyanganywa point tatu. Hizo ni mbinu za mchezo mnajua ila mnakausha ili mkipigwa mnateleza kiulaini.Safi sana ila TFF iandae utaratibu kama wa ulaya. Yaani kabla ya mechi kila timu inaeleza wachezaji wasiocheza na sababu za kutocheza ikiwemo waliopewa kadi za njano au nyekundu.
Ingekuwa Yanga soka lingesonga mbeleKwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.
Hujaonyesha ustaarabu hapo mkuu kulikua hakuna haja ya kuporomosha tusi.Hata usingetukana tungekuelewaUsenge tu ndio unaendelea inchi hii kila secta
Viroba MkuuHujaonyesha ustaarabu hapo mkuu kulikua hakuna haja ya kuporomosha tusi.Hata usingetukana tungekuelewa
Koramu inahitaji wajumbe wangapi??Mtoa post acha ubashite wewe hicho kikao uchwara kinakaa saa tisa n mjumbe mmoja amejitoa