Man Thom
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 732
- 905
Mkuu unakosea pia kwamba, ili soka liendelee basi sheria na kanuni zilizowekwa ni lazima zifuatwe, usitake kutuaminisha kwamba Simba ndio timu ya kwanza kufanyiwa utaratibu huu! Ifike wakati nidhamu ya soka ndani na nje ya uwanja iheshimiwe..period!Kwa maamuzi haya! Soka la Tanzania ni ngumu sana kuendelea.