ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu
Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila
Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu amfunge Ahly na pyramid
Dunia ni kijiji yote mnayoyasema Al Masry yanawafikia kabla hata hayajafika Ngara Kwetu
Al Masry ni timu ngumu kuzidi Simba yenu acheni kuibeza hadharani,
Viongozi wa Simba acha mapuuza na chunga kauli zenu
Tarehe 9 April mtakutana na surprise kutoka Kwa Al Masry wanaweza wakaamua ku attack nyie mkiingia na mbinu ya kushambulia mtajikuta mnaokota nyavuni
Hii mechi iendeeni kimbinu zaidi acheni propaganda mnawapa wachezaji wenu pressure ya Bure.
Eti Simba wanamwalika Karia, mara mkuu wa mkoa wa Tabora, mara Mwamposa mara sijui nani
Kwani Al Masry alivowafunga goals 2 alimwalika nani?
Simba mmefanya mechi iwe ngumu upande wenu Kwa ujinga wenu