Simba atapigwa na Al Masry, mechi ameipa pressure kubwa bila sababu

Simba atapigwa na Al Masry, mechi ameipa pressure kubwa bila sababu

Punguza kamdomo. Badala ya kuiombea mabaya, wewe kaa ukiombea Simba ifike fainali ikutane na USMA tuwalipie kisasi
Sitaki kumsumbua Mungu
Ateba, Ahoua, Chasambi na Kijili wacheze final😀😃😉 hayo mashindano labda wajae viwete
 
Sitaki kumsumbua Mungu
Ateba, Ahoua, Chasambi na Kijili wacheze final😀😃😉 hayo mashindano labda wajae viwete
Kijili alifunga kwenye derby. Chasambi mlivaa hadi tisheti yake baada ya kufunga goli bora la msimu. Ateba ni mmoja wa mabausa waliozuia derby kutofanyika. Janshalewa ni kinara wa magoli ingawa mengi ya penati.

Dah ila kweli, fainali ina kaugumu fulani ukiwaza vizuri
 
Mbumbumbu mnasema mnaenda final sijui mnaendaje?
Labda kwakuwa mmemualika Mwamposa ataongeza maombi
Karia atafuta matokeo
Mkuu wa mkoa wa Tabora atawaweka lupango makocha, wachezaji wa Al Masry

Hiyo mbinu tu aaàaa semi final lazima
 
Ww nawe kuwa na msimamo...si kuna uzi unajifanya kuwa unawashangaa wakaanga sumu roho mbaya za kichawi uto wenzio kwa kuwaombea mabaya Simba...kweli mazuzu hayafichiki
 
Ww nawe kuwa na msimamo...si kuna uzi unajifanya kuwa unawashangaa wakaanga sumu roho mbaya za kichawi uto wenzio kwa kuwaombea mabaya Simba...kweli mazuzu hayafichiki
Mbumbumbu mmenikera hii game ingekuwa rahisi lakini mmeingiza uswahili ndo nikaona mmenikera
Sasa Mwamposa wa nini?
Mkúu wa mkoa wa Tabora wa kazi Gani?
 
Ni manjonjo tuu..hata wasipokuja kutawaka tuu...
Mbumbu bibi yako nae nasikia ni mnyama
.... 😎 😎 😎
Zuzu weee...
Bibi yangu Kwa hekima yake hawezi kuwa shabiki wa mbumbumbu
Tena umenikumbusha ngoja nikamtumie elfu 20 anywe Primus na usiku asali rozali matendo ya furaha 5imba aishie robo
 
Mbumbumbu mmenikera hii game ingekuwa rahisi lakini mmeingiza uswahili ndo nikaona mmenikera
Sasa Mwamposa wa nini?
Mkúu wa mkoa wa Tabora wa kazi Gani?
Mwamposa ana kazi moja tu siku hiyo, kukemea mapepo yote yanayozuia Simba kuvuka robo fainali.

Nashauri jezi zote za Simba za siku hiyo zilale kwake kuanzia kesho ibadani hadi siku ya mechi.

Tumeshagundua hatuvuki kwa sababu ya husda, wivu na robo mbaya iliyoko ndani ya ndugu wa ukoo mmoja.
 
Mwamposa akikemea mapepo ndio atakuwa anawaharibia kabisa na kuwatokomeza kwenye kusukumizwa nje ya michuano maana mapepo ndio ayo mtalala mnachimbia mafuvu na makafara uwanjani ili mshinde mechi,,badala ya kuwaponya waarabu watajikuta ndio mechi inakuwa nyepesi kwao kwakuwa vitu vya ovyo mtavyoweka vitasambaratishwa na mwamposa wenu!
 
Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu

Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila
Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu amfunge Ahly na pyramid

Dunia ni kijiji yote mnayoyasema Al Masry yanawafikia kabla hata hayajafika Ngara Kwetu

Al Masry ni timu ngumu kuzidi Simba yenu acheni kuibeza hadharani,

Viongozi wa Simba acha mapuuza na chunga kauli zenu

Tarehe 9 April mtakutana na surprise kutoka Kwa Al Masry wanaweza wakaamua ku attack nyie mkiingia na mbinu ya kushambulia mtajikuta mnaokota nyavuni

Hii mechi iendeeni kimbinu zaidi acheni propaganda mnawapa wachezaji wenu pressure ya Bure.

Eti Simba wanamwalika Karia, mara mkuu wa mkoa wa Tabora, mara Mwamposa mara sijui nani

Kwani Al Masry alivowafunga goals 2 alimwalika nani?

Simba mmefanya mechi iwe ngumu upande wenu Kwa ujinga wenu
Anayeipa pressure ni wachezaji au mashabiki?
 
Back
Top Bottom