Shirikisho ni mashindano madogo kikubwa mtapigwa vizuri maana mshajaza uswahili na upumbavu vichwaniMechi ngumu na zisizotabirika ndiyo tamu maana mwisho wa siku mpira ni burudani. Nina uhakika ndani ya mioyo yenu mashabiki wengi wa Yanga mnapenda zaidi kuangalia mechi za Simba kuliko za Yanga maana zinakuwa na ushindani na msisimko. Hata ukilipa king'amuzi chako au tiketi yako unaona imeenda kihalali kabisa.
Simba inavuka kwenda nusu fainali vizuri tu. Tunachosubiri ni kujua tunarudi tena Misri au tunaenda South Africa.
Simba SC vs ZamalekMechi ngumu na zisizotabirika ndiyo tamu maana mwisho wa siku mpira ni burudani. Nina uhakika ndani ya mioyo yenu mashabiki wengi wa Yanga mnapenda zaidi kuangalia mechi za Simba kuliko za Yanga maana zinakuwa na ushindani na msisimko. Hata ukilipa king'amuzi chako au tiketi yako unaona imeenda kihalali kabisa.
Simba inavuka kwenda nusu fainali vizuri tu. Tunachosubiri ni kujua tunarudi tena Misri au tunaenda South Africa.
Nyie mko mashindano gani makubwa mpaka sasa?Shirikisho ni mashindano madogo kikubwa mtapigwa vizuri maana mshajaza uswahili na upumbavu vichwani
Achana na hizo hadithi zako za kila siku za "shirikisho ni mashindano madogo", ongea mpira dogo. Msimu huu robo fainali shirikisho ina timu 3 zilizo top 10 kwenye rank za CAF, kwa idadi hiyo hiyo kama ya CAFCL.Shirikisho ni mashindano madogo kikubwa mtapigwa vizuri maana mshajaza uswahili na upumbavu vichwani
Timu kubwa zipi hizoAchana na hizo hadithi zako za kila siku za "shirikisho ni mashindano madogo", ongea mpira dogo. Msimu huu robo fainali shirikisho ina timu 3 zilizo top 10 kwenye rank za CAF, kwa idadi hiyo hiyo kama ya CAFCL.
Nyie mwiko nyuma mko mashindano gani makubwa mpaka sasa?Timu kubwa zipi hizo
Kwani wewe mrembo unachagua nini?Mnataka tupigwe au ibaki hyo hyo mbili...
Chagueni moja
Sijasema timu kubwa nimesema timu 3 zilizo kwenye top 10 rank ya CAF. Tena mmoja juzi kachukua ubingwa wa MoroccoTimu kubwa zipi hizo
Halafu itakuwa poa sana ikienda nusu fainali ili ikutane na Waarabu wengine wa Zamalek ya palepale Misri!Simba sio timu ya kubebwa na Pressure kama Yanga
Jiandae kuitazama ikienda nusu fainali J5
Simba itakutana sana na Waarabu msimu huu. Yaani hadi inachukua kombe, kina Janshalewa watakuwa wanajua kusema salamalekoHalafu itakuwa poa sana ikienda nusu fainali ili ikutane na Waarabu wengine wa Zamalek ya palepale Misri!
Punguza kamdomo. Badala ya kuiombea mabaya, wewe kaa ukiombea Simba ifike fainali ikutane na USMA tuwalipie kisasiTimu kubwa haiwezi kucheza shirikisho